ufafanuzi zaidi....wewe una miaka 11,mdogo wako(tumuite tony) ana miaka 5.je wewe umezaliwa miaka mingapi KABLA YA TONY?umesema 6 enhe?umejuaje kama ni 6?umeanza kuhesabu kuanzia mwaka aliozaliwa tony kwenda kinyumenyume enhe?hivyo ndivyo inavyohesabiwa miaka kabla ya kristo(bc)