Historia na kumbukumbu ya kifo cha Bob Marley

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
392
Reaction score
949

LEO NI IMETIMIA MIAKA 36 TOKA KIFO CHA BOB MARLEY.
Alikuwa msanii wa reggae na mwanaharakati aliimba siasa na nyimbo za kutetea watu weusi JAMAICA mpaka serikali yake kumsaka vibaya na kukimbilia uingereza kwa muda leo wasanii wasiimbe siasa duh..Alisaidia nchi za kiafrika kupata UHURU..AFRICA UNITE ALIIMBA NCHINI ZIMBABWE 17 April 1980 YANI KESHO YAKE 18 April 1980 ZIMBABWE IKAPATA UHURU WAKE
LIVE PERFOMANCE ZAKE NCHINI ZIMBABWE 17 April 1980

Robert Nesta "Bob" Marley
(6 Februari 1945 - 11 Mei 1981) alikuwa mwimbaji na mwanamuziki muhimu kutoka nchini Jamaika. Alivuma hasa kunako miaka ya 1970 na 1980. Ameweza kuifanya staili ya muziki wa reggae kuwa maarufu sana duniani. Muziki wake mwingi ulikuwa unazungumzia hadithi za nyumbani kwake na dini ya Rastafari ambayo yeye alikuwa anaifuata. Kuna baadhi ya nyimbo zake zinahusu masuala ya dini na zingine siasa.

Bob Marley alizaliwa na mama mweusi kijana aliyeitwa Cedella Booker na baba wa Kizungu aliyeitwa Norvall Marley. Wakati yungali bwana mdogo, marafiki zake walimpa jina la utani kama "Tuff Gong".[1] Ameanza kazi zake za muziki kunako miaka ya 1960 hivi akiwa na kundi lake la kina Wailing Wailers, ambalo alilianzisha akiwa na marafiki wawili, Peter Tosh na Bunny Wailer. Mwaka wa 1962, Bob Marley na kina Wailing Wailers wakafanikiwa kurekodi nyimbo zao mbili za kwanza zilizoitwa "Judge Not" na "One Cup of Coffee".

Bob amemwoa Bi. Rita Anderson mnamo 1966 na akajiunga na kundi akiwa kama mwitikiaji. Kwa pamoja wamefanikiwa kupata watoto watano. Mmoja kati ya hao ni Ziggy Marley, ambaye pia ni mwimbaji wa reggae maarufu sana.

Mwaka wa 1974, kundi la Wailers likavunjika kwa sababu wanachama wote watatu walitaka kujiendeleza kila mtu awe msanii wa kujitegemea. Lakini, Bob Marley aliendelea kuita bendi yake jina la Bob Marley and the Wailers na kujiunga upya na wanachama wapya na kuindelea kupiga muziki kama kawaida. Mwaka wa 1975, Bob Marley akatoa kibao chake cha kwanza kilichovuma kimataifa na kiliitwa "No Woman No Cry". Huko Jamaika, huhesabiwa kama kama shujaa wa jadi.

Baadhi ya vibao vyake vikali ni pamoja na "I Shot the Sheriff", "No Woman, No Cry", "Could You Be Loved", "Stir It Up", "Jamming", "Redemption Song", "One Love" na, "Three Little Birds",[2]. Albamu za studio ambazo ni maarufu kuliko ni ile iliyoitwa Legend, ambayo pia ina jumlisha vibao vyake vikali. Bob Marley alikufa tar. 11 ya mwezi wa Mei 1981, katika hospitali ya Cedars of Lebanon Hospital huko mjini Miami, Florida, kwa tatizo la melanoma (kansa ya ngozi).

 
Give thanks bredrin for sharing the autobiography of the legend Bob Marley

Today is the day he crossed over into another realm of life. He may not be with us physically but he surely is with us spiritually.

I believe Bob Marley was a true King sent to the world to teach people love and unity.

Today I celebrate his amazing life and his work for humanity

Perfect love from this side of the world.....Arusha
 
Walikutana kwenye mkutano.nyerere akamchukulia jamaa kama muhuni.baada alipooanza kuimba.nyerere akamkubali.akataka kumpa mkono bob.bob nae akakataa.kwa ufupi tu hyo.
Ok I heard this story once but I wasn't convinced it was true. Well, I will look other sources for certainty.

Give thanks this day and always
 
Ushindani wa watu wenye nguvu katika ulimwengu huu umechangia kwa namna moja ama nyingine kifo cha reggae icon huyu..tatizo hakuna anayekubali kuambiwa ukweli hapa duniani! To our mind(not eveyone..but what I do believe) it's absolutely plausible and extremely likely that cancer can be artificially induced on a specific target..ili kuzima ndoto za mtu fulani na Robert alikuwa target yao..anyway ametangulia mbele za haki kwangu ni sawa.. ila kila nikisikiliza wimbo wake Give thanks and praise nahisi jamaa alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kufikiri kama nabii na ananiunganisha moja kwa moja na Jah 'The Most High'..To God be the Glory...period

dedix kwenu..
>Easy skanking
>So much trouble in the world
>Top Rankin'
>Soul Rebbel
>We n' dem
[HASHTAG]#sikiliza[/HASHTAG] hizo!#
 
Bob was truly a genius. Not only his amazing ability to compose conscious lyrics also his ability to organize his people for the course of humanity. He gave all of his life for the cause of freedom, unity and peace

I often find myself not interested to discuss the cause of his death because what happened already happened nothing can change. I celebrate his amazing life.....you know Babylon can't destroy what liveth inside a man.

The world truly miss the legend.

Rastafari light +
 
Bad like yaz brother...together
 
Rest in zion.waungwana bob marley day inafanyika wapi na lini mwaka huu?
 
Rest in zion.waungwana bob marley day inafanyika wapi na lini mwaka huu?
Kwa dar es salaam hapo itakuwa Travetine tarehe 13/05/2017 kama sikosei! Jaribu kuuliza kwa wadau wenye uhakika kuhusu tarehe
 
Rest in zion.waungwana bob marley day inafanyika wapi na lini mwaka huu?
If you in JA the celebration is at Bobs Museum at Hope Road Kingston.

If you in Tz you may organize yourself a likkle party to celebrate the life and music of one of true talent the world has ever had.

I have arranged a small party with few friends and eeeryting is going along well.

We have lots of weed, bamboo chalice to smoke with and of course some fresh mango juice. Every ting nice man
 
Airee rasta,his imperial majestys blessings be pon u brethren,fire the chalice up and let the chants dem begin.woulda luv to join ya.
 
Airee rasta,his imperial majestys blessings be pon u brethren,fire the chalice up and let the chants dem begin.woulda luv to join ya.
Blessings rasta. May Yah guide and shower his blessings to the I.

Forward Natty
 
This could be the first trumpet, might as well be the last:
Many more will have to suffer,
Many more will have to die - don't ask me why.

There's a natural mystic blowing through the air -
I won't tell no lie;
If you listen carefully now you will hear:
There's a natural mystic blowing through the air.[emoji444][emoji444][emoji444]
 
R.I.P BOB wakuu japo napenda reggae music sana ila napendelea sana sweet raggae hivi tofauti ya haya matawi kama dancehall raggae ,raggae muffy, Riddim sweet raggae ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…