Historia: Nani anajua ili kuhusu Germany na Argentina



Anayeujuwa mpira atakuwa kanielewa namaanisha nini!!!

Karibuni wakuu!
 
Endapo argentina watamtumia messi kama mchezaji wa kawaida na sio tegemeo kwa kila kitu wanaweza kufika mbali, wachezaji wa argentina sio wabaya, tatizo ni kumtegemea messi kwa kila kitu, saivi kazi anayoifanya messi hata dybala anaiweza, France ilifika mbali 2006 lakini zidane hakujiona star, alicheza kwa juhudi kama wachezaji wengine, kiukweli argentina wana viumbe angalia hawa higuan, aguero, dimaria e.t.c
na kama timu hazikua makini ujerumani huenda akachukua tena, german wana kikosi kipana kwa sasa. Kumbuka german wamecheza mpaka wamefika kushiriki world wakitumia watoto tu, wale wenyewe asa kina toni kross hawajaitwa. Pia kwa mbaali france wanaweza kutoa upinzani nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…