medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Mpira umejawa na rekodi zake kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja
TUBADIRISHANE PIA NA TUPEANE UELEWA KWENYE HISTORIA NA REKODI ZA MPIRA[emoji460] WA MIGUU UNAYOIJUA. Mimi naanza na hii.
Penati ya kwanza katika soka ilitolewa kwenye mechi kati ya WOLVERHAMPTON WANDERERS na ACCRINGTON, hapo September 14_1881 kwenye uwanja wa molineux na ilifungwa na mchezaji 'BILLY HEATH' wakati timu yake ya WOLVES ilipoibuka na ushindi wa mabao 5_0