maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
mtu asiyejua historia yake ni sawa na mtu aendaye katika giza maana yake unajua historia ya watu ila ya kwako hujui. mfano watu wengi wanajua sana historia ya ulaya kuliko historia ya africa na hata jamii yako kwa kuwa tumesoma tukifundishwa habari ya malkia wa uingereza na fahari zake lakini sio babu yako na fahari zake. Tunachojua ni kwamba sisi ni watu dhaifu wasiostaarabika na kadhalika
Hapo juu docta john henrick clark anatupa umuhimu wa historia hasa kwa watu weusi kujua tumetoka wapi tulipitia wapi na tulikwama wapi kubwa yeye amepambana kwa maisha yake yote mpaka akapata ulemavu wa macho