mtu asiyejua historia yake ni sawa na mtu aendaye katika giza maana yake unajua historia ya watu ila ya kwako hujui. mfano watu wengi wanajua sana historia ya ulaya kuliko historia ya africa na hata jamii yako kwa kuwa tumesoma tukifundishwa habari ya malkia wa uingereza na fahari zake lakini sio babu yako na fahari zake. Tunachojua ni kwamba sisi ni watu dhaifu wasiostaarabika na kadhalika
Your browser is not able to display this video.
Hapo juu docta john henrick clark anatupa umuhimu wa historia hasa kwa watu weusi kujua tumetoka wapi tulipitia wapi na tulikwama wapi kubwa yeye amepambana kwa maisha yake yote mpaka akapata ulemavu wa macho
tujitahidi kusoma historia yetu kwa kuwa tumepotezwa sana kwa eneo lilo kuliko maeneo mengine ndo maana hatujiamini katika maeneo mengi wakati ukweli ni kwamba mzungu anajua black man ni mtu hatari sana siku akijitambua maana amebarikiwa na nature kuliko mtu mwingine ukitaka kujua hilo nenda katafute organ harvesting utashangaa sana