Historia ni Uti wa mgongo wa kila Taifa

MAKA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
267
Reaction score
209
Historia ndio Uti wa mgongo wa kila Taifa. Bila kujua historia ya Taifa husika ni sawa na kutojua ulikotoka na hujui unakokwenda.

Anayejua historia vizuri, pia anajua jana ilikuwaje, anajua leo inatakiwa iweje, na pia anajua ni jinsi gani kesho inatakiwa kuwa.

Tusome historia. Ni muhimu sana kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…