Historia: Ukaguzi wa wafanyakazi katika mgodi wa Mwadui

Historia: Ukaguzi wa wafanyakazi katika mgodi wa Mwadui

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Mgodi wa Mwadui 🧐

Williams Diamond Limited (WDL)

Wafanyakazi wa sorting(wanaochambua madini) wakimaliza kazi walikuwa wakikaguliwa bila nguo 😢

Shinyanga tumetoka mbali sana😢

Yaliyopita yanasikitisha mno🙌

Shinyanga 🇹🇿
Mwadui.jpg
 
Hii ni old scanner unachungulia majicho ya watu kwa macho ilikuwa ndo most exactly answer
 
Mwadui ilikuwa ukingia unaingia na kibali...

Ova
 
Back
Top Bottom