Historia ya ajabu ya kisiwa cha Pitcairn

Thibitisha Mungu yupo, na kwamba hizo habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.
NAKUPA UTHIBITISHO WA PILI

ushahidi mpya uliopo sasa huonesha kuwa haiwezekani kwa uhai kuanza wenyewe., Lazima kuna Mwanzilishi ambaye ni Mungu.

Wakati mwingine huliita jambo hili abayojenesisi yaani, kuibuka kwa uhai kikemikali kutokana na vitu visivyo uhai. Seli hai moja ya kwanza ingehitaji mamia ya aina mbalimbali za molekyuli kubwa, zikiwemo kampaundi za mfumo wa jeni (RNA na/au DNA) ili kujitengeneza.

Molekyuli hizi ni ngumu kama sio kwamba haiwezekani kutengenezwa kwenye maabara achilia mbali kujitengeneza yenyewe kwa njia ya asili na nyingi sana haziko imara, zinavunjika kwa urahisi na kuwa kampaundi ndogondogo zaidi zisizotenda kazi. Aidha, nakala mamilioni za baadhi ya molekyuli hizi zingelihitajika mkusanyiko wa kutosha ili kusababisha mamia ya mabadiliko ya kikemikali kwenda kwenye mwelekeo sahihi kwa mwendo sahihi ili kuwa na uhai.

Mfumo wa kimahesabu unaonesha kuwa jambo hili haliwezekani kabisa kutokea kwa bahati tu. Kwa kweli, kama tukichukua bakteria hai aina ya E-coli mwenye seli moja na kutoboa tundu dogo katika utando wake wa nje, mchakato wake wa kikemikali utavurugika sana kiasi kwamba seli hiyo itakufa. Zaidi ya hayo, hakuna mwanadamu anayeweza kurejeshea uhai wa bakteria huyo. Vijenzi vyote vya kikemikali bado vipo, lakini hatuwezi kuanzisha tena mamia ya michakato ya kikemikali kwa pamoja katika hali hiyo isiyo na ulinganifu sharti linalohitajika ili kufanyika kwa uhai.

Tunapofikiria maarifa ya kisayansi tuliyonayo kuhusu uhai duniani, tunaweza kusema kwa hakika kuwa uibukaji peke yake kama chanzo cha aina mbalimbali za viumbe hai duniani ni jambo lisilowezekana kabisa. Badala yake, sayansi hudhihirisha uthibitisho wa mbunifu mwenye maarifa ya kushangaza sana akifanya kazi angalau kwenye kiwango fulani.

Kwa nini tusifikirie kile ambacho Biblia Takatifu inadai?

Mungu Muumba mwenye upendo aliiumba dunia yetu.

HAKUNA KILICHOTOKEA FROM NO WHERE

 


Sikio la kufa halisikii dawa, wamesema Wahenga.🤣
 
Unafahamu "logical non sequitur" ni nini?
 
Kwa nini unafikiri wewe ndiye wa kunisaidia mimi?

Hujajibu swali.

Unafahamu "logical non sequitur" ni nini?
Unakimbilia swali wakati nimekupa thibitisho 2,

Unaenda kuuliza maswali ambayo haya kichwa wala mguu

Kama nilichokwambia hujaelewa bas tutakesha hapa

Ila itafika muda utaanzisha Uzi humu ukikiri hakika Mungu yupo
 
Unakimbilia swali wakati nimekupa thibitisho 2,

Unaenda kuuliza maswali ambayo haya kichwa wala mguu

Kama nilichokwambia hujaelewa bas tutakesha hapa

Ila itafika muda utaanzisha Uzi humu ukikiri hakika Mungu yupo
Unafahamu "logical non sequitur" ni nini?
 
Kisiwa chenye watu 50 tu na wanetokea katika familia/koo 4 tu
 
NON SEQUITUR, 🤣🤣🤣🤣
Hahahah halaf uyu kiranga atwambie nini hiki ili nijue huu ugomvi nitumie siraha gan nisije kujikuta napigana na baraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…