Historia ya Aziz Ali

Mkuu Maalim asante kwa simulizi hizi murua, nilikuwa napasikia tuu Mtoni kwa Aziz Ali, sikupata kumjua wala kumsikia mzee huyu!.

Tutafutie na habari za Musa Hassan wa jila la Msasani, na wazee wengine waliolipa jiji letu majina.

P
Halafu amini usiamini; babangu alikuwa anasema amesoma na Azizi Ally wakati hata hiyo 1950 yenyewe alikuwa hajaliona hata jua!!

Najua wazee wetu ni wahongo kishenzi lakini babangu mimi kazidi aisee, dah!

Mkuu malcolm Lumumba, eti mzee wako alisoma na Kwame Nkhurumah na Bi. Mkubwa alikuwa shoga ake na Bibi Titi?!
 
Mkuu Maalim asante kwa simulizi hizi murua, nilikuwa napasikia tuu Mtoni kwa Aziz Ali, sikupata kumjua wala kumsikia mzee huyu!.

Tutafutie na habari za Musa Hassan wa jila la Msasani, na wazee wengine waliolipa jiji letu majina.

P

Na wewe hebu endelea kuunganisha dots za Hamza Aziz na Rose Aziz mpaka kuwa na mgodi wa dhahabu
 
Mtoni mtogani kwa Azizi Ally kumbe kuna Historia mzuri lakn TV na RADIO zetu huwezi kukuta wameandaa documentary ili vizazi na vizazi vifaidike.Make watoto wanaokua sa hv wanamuona DIAMOND NA ZARI Kama wapigania UHURU
Tatizo lako unaskiliza wasafi fm lini utasikia. TBC mbona wanaandaa sana hivi vipindi
 
Yuuu wabeja sana paasi,nimejifunza historia nzuri!
 
Paskali, Mussa Hassan "Mgosi" yule wa Simba na Coastal Union?
No ni Mzee Mussa Hassan aliyekuwa akiishi Mikoroshini, Wamakonde wakashindwa kutamka Musa Hassan, wakatamka Mucha Achani ndipo ikageuka Msasani. Beach yake ilikuwa na nyumba 6 tuu, ya Nyerere, Kambona, Bert Shackland, Simbeye, Naburi not uwanja tupu wa Tewa Said Tewa. Mbele ya Mikoroshini kulikuwa na miti ya mikoche ndio asili ya Mikocheni.

P
 
Mtoni mtogani kwa Azizi Ally kumbe kuna Historia mzuri lakn TV na RADIO zetu huwezi kukuta wameandaa documentary ili vizazi na vizazi vifaidike.Make watoto wanaokua sa hv wanamuona DIAMOND NA ZARI Kama wapigania UHURU
hahahha[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Umesahau nyumba ya Sir George Kahama.
 
Halafu amini usiamini; babangu alikuwa anasema amesoma na Azizi Ally wakati hata hiyo 1950 yenyewe alikuwa hajaliona hata jua!!

Najua wazee wetu ni wahongo kishenzi lakini babangu mimi kazidi aisee, dah!
Inawezakana kweli Azi Ali ana mtoto wa kiume nae anaitwa Aziz Ali
 
Ilipoishia story ya mtoa mada inatosha kumuweka Ali ktk kundi la mashujaa kama ulivyosema?au atasemwa tu na wale wanaomjua kua yeye ni shujaa?any way na wewe utupe madini,ushujaa wa Aziz Ali unatokana na nini?
Ardhini kumemeza mashujaa wengi mnoo .
 
Ha ha haa! Nilitaka this time atoe historia ya Mkristu walau mmoja, maana kila historia anayotoa ni ya mwenzetu tu kama vile Tanganyika haikuwa na wagalatia
Wagalatia walikuwa vibaraka wa wakoloni kasoro Rupia na wengine wachache ndio maana historia yao haivumi
 
Mikoche ndio miti gani? Au ndiyo hiihii mikoko!
 
we mzee Mungu akusaidie tu, hii yote unaandika ukiwa na ukereketwa wa kidini, unataka kutuambia, kama ulivyozoea, kwamba waislam ndio waliokomboa nchi hii na kwamba wanaonewa, na huna ushahidi wala sababu ya msingi kusema hivyo.

unahitaji kitu kimoja tu kwa umri wako huu, tena nakuheshimu kama baba yangu kwa umri wako, ila kwa kukusaidia, UNATAKIWA UOKOKE, UWE MKRISTO ILI UURITHI UZIMA WA MILELE, usije kuondoka duniani hapa kabla haujampa Yesu Maisha yako kwasababu umepoteza muda katika maisha yako yooote tangu utoto hadi uzee kuabudu mungu asiyeonekana, allah mungu wa kiarabu, asiyeokoa na ambaye ni shetani mwenyewe. tangu enzi zako za fujo za mwembechai, hadi kutukana wakristo kwamba ni makafiri na uhamasishaji wako wote wa chuki katika nchi hii, hakuna ulichofanikiwa maishani. tumaini lako ni kwa mungu allah ambaye hana mbingu ya kukupeleka, unahitaji kuwa Mkristo, uokoke, mpe Yesu Kristo maisha yako kabla kibatari hakijaisha mafuta hapa duniani, ni kwa njia ya Yesu Kristo pekee unaweza kuurithi uzima wa milele, nje ya hapo umepoteza muda wako wote ulioishi hapa duniani. Ushauri huu uuchukue, ukaufanyie kazi, na uukumbuke maisha yako yote,na omba Mungu usije kuja kuukumbuka wakati unawaka moto wa jehanum. Mungu akusaidie ufunguke.
 
Yes mikoche ni mikoko
P
Nashukuru nimejifunza kitu, sikuwahi kujua kuwa mikocheni ni jina lililotokana na hiyo miti ya mikoche.

Na yule uliyemtaja kama Musa Hassan isingekuwa rahisi kwa ndugu yetu Mohamed kumfahamu.

Msasani kipindi hicho ni kijiji walikoishi wavuvi wachache sana, Mohamed angefata nini kwa wavuvi hao miaka hiyo akitokea Kariakoo?

Dar imebadilika kwa kasi sana kuanzia miaka ya 1970. Nakumbuka 1980 kuanzia Lugalo hadi kibao cha Africana ilikuwa pori. Mwaka 1981 tumemuua nguruwe pori hapo kunduchi maeneo ya kambi ya jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…