Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
nashukuru kupata historiaaKwa kifupi Bahima empire au himaya ya Bahima ilianza miaka ya 1959 na ilianzia nchini Uganda ila ilikuja kupata nguvu miaka 80 hadi miaka ya 90 mpaka leo hii bahima bado ipo nchini Uganda.
Nilichokuwa nafahamu lengo la Bahima ilikuwa ni kuwaonganisha watu wa kabila la watusi waliomo walio Tanzania, Congo Rwanda, Burundi lakini pili Bahima lengo la pili kujitanua na kuhakikisha utawala wao unasambaa Africa nzima.
halafu ni kwanini hivi hii empire ina nguvu kisiasa hapa africa ya masharikitanzania bahima wako karagwe ,ngara,kigoma na bukoba
Mie nafikiri ina nguvu kwa sababu ina nguvu..halafu ni kwanini hivi hii empire ina nguvu kisiasa hapa africa ya mashariki
kuna wakati niliwahi kusikia wao nguvu yao ni kwenye utawala na wanachokitaka lengo lao ni kutawala africa nzima sijui kama watawezaMie nafikiri ina nguvu kwa sababu ina nguvu..
Unamaanisha tangu kina Rumanyika ama wa sasa Mu 7 au Ka Muchezo?kuna wakati niliwahi kusikia wao nguvu yao ni kwenye utawala na wanachokitaka lengo lao ni kutawala africa nzima sijui kama wataweza
hapo mkuu nimekupata lakini una maana hawa ndio watu wenye akili nyingi africa masharikic programming ukitrace back wahima ,watutsi,banyamulenge wametoka ethiopia lakini inasemekana ni wana wa israel angalia pua zao,wale sio wabantu nadhani ni nilo hamit au hamit not sure,nikisema waisrael nadhan unaelewatwalivyo na akili
chief rumanyika nadhani ilikuwaga bukoba ila kwa upande mu7,kagame,kabila, mugabe hivi damu mojaUnamaanisha tangu kina Rumanyika ama wa sasa Mu 7 au Ka Muchezo?
Kwa kuongeza tu, hii bahima ilitakiwa kuanza baada tu ya kupinduliwa rais wa zamani wa Zaire Marshall Mobutu Ssesseseko. Kulikuwa na makubaliano kati ya Rwanda (Kagame) Uganda (Museveni)na Laurent Kabila kwamba wakimsaidia kumtoa Mobutu basi atawagaia pande la ardhi (bahima) kwa ajili ya watutsi.Mkuu, Bahima empire ni mkakati wa Museveni na Kagame kuyatawala mataifa ya Tanzania, Kenya, Burundi na Congo kitusi, na inasemekana tayari wanaenda kufanikiwa hapa kwetu ila kenya na Burundi ndo bado.
Chizi gani mkuuNasikia na yule chizi wetu yumo kwenye hilo kundi