Historia ya Bichwa Komwe: Maktaba ya Jamiiforums

Katika watu wenye akili humu JF na bichwa komwe aka Divisheni foo mmojawapo....
Achilia mbali mdomo wake mchafu ila angalia upande wake wa pili kwenye hoja zingine utajua ni big brain.....
Sema ana mdomo mchafuuuu uchafu wenyewe ukasome...
Halafu sio shoga ni mama wa familia...msijichanganye
 
Kumbe ni mwanamke. Siku zote nilidhani wewe ni shoga
 
Uandishi wako mzuri; inaonesha Phd yako sio ya maboksi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…