Hiyo story iko wapi?,au unataka kuongeza idadi ya watu katika you tube channel yako?Nimefuatilia articles nyingi ambazo zinamuelezea bob marley lakini kuna mahali nimekutana na hii kumhusu huyu jamaa..
Kiukweli hapa ameelezewa vizur hata kwa sie ambao tumezaliwa miaka ya 90s unaelewa huyu nguli wa muziki wa rege alipitia katika changamoto gani..
Nisikuchoshe sana ila huna budi kuisikiliza simulizi hiii
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Link nimekuwekea hapo mkuu isikilize kwa makiniHiyo story iko wapi?,au unataka kuongeza idadi ya watu katika you tube channel yako?
Nimeingia Fasta Saana Nikajua Umeishusha Hapa Mkuu
Hahhah Picha Inaanzia HapoCha ajabu ukakutana na malink kama yote