TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Huyu mwamba hapo pichani anaitwa bwana Vachili Archipov. Alikuwa ni mwanajeshi wa jeshi la Urusi kitengo cha kulipua mabomu kwenye manowari jeshi ya kivita huko Urusi, wakati huo ikijulikana kama USSR (Ukraine ilikuwa sehemu ya USSR). Ilikuwaje kuwaje mpaka akauokoa ulimwengu dhidi ya maafa makubwa? Twende kazi.
Nitaanza na historia fupi ili tuweze kwenda pamoja. Nadhani wote tunamkummbuka mzee Fidel Fidre Castro. Mnamo mwaka 1953, Fidel na jeshi lake alianzisha mapambano ya msituni dhidi ya utawala wa Cuba uliokuwa kibaraka Marekani. Alifanikiwa kupindua utawala wa Cuba mwaka 1959 na yeye kujiweka kuwa mtawala wa kidiktekta. Wote tunajua Fidel alikuwa ni muuni mkubwa wa maswala ya ukomunisti ule wa Marxist na ndio mana alipochukuwa tu madaraka, akataka Cuba iwe nchi ya Kikomunisti na akatangaza wazi wazi kwamba yeye anakuwa upande wa Urusi ili aweze kutimiza azma yake hgiyo. Hiyo ilikuwa ni wakati wa vita baridi kati aya Marekani na Urusi (Soviet Union - USSR) ndio vimepamba moto.
Hilo lilikuwa ni pigo kwa marekani ambaye alijua wazi kwamba anayempa kibri Castro ni USSR. Sasa ili kutibu mzizi wa fitna, miaka miwili baadae tangu Castro afanye mapinduzi Marekani akawa amefanikiwa kupenyeza mizinga yake ya Nyuklia mpaka Uturuki, ambapo Moscow ilikuwa inapigwa na mizinga ya nyuklia ndani ya dk 15 tu. Wakati Mmarekani anafanikiwa kupenyeza mizinga mpaka kwenye moyo wa USSR, huku nako anakuja kushituka kwamba Mrusi naye ameshapandikiza mizinga ya nyuklia Cuba ambapo ni pu na mdomo na marekani hususani upande wa Mashariki wa Marekani ambvapo majimbo kama Washington, California na Arizona yalikuwa yanapotezwa ndani ya dk 5 tuu, kufumba na kufumbua.
Tension ikaongezeka hususani kwa Mmarekani maana hakutegemea kama kichaa Castro angefikia hatua hiyo. Watu wakavurugana sana ndani ya makorido ya jumba jeupe la Washington. Washauri wa maswala ya kivita wakamtia ujinga Kennedy kwamba waiwahi Cuba kuiangamiza kwa mabomu ya Atomic wakiamini yule kichaa Castro bado wataalamu wake wanafundishwa namna ya ku-operate mitambo ya kulipua mabomu ya nuclear. Wamuwahi maana akishajua kuyatumia au endapo kama USSR atakuwa ameshapandikiza wataalam wa kutosha basi lolote linaweza likatokea. Unaambiwa Kenndey kidogo aingie mkenge lakini akasema subirini, japo Castro ni chizi ili hawezi kuwa chizi kiasi hicho.
Kennedy ambacho alikuwa hakijui ni kwamba ni kweli Castro alikuwa yupo siriazi ailipue Marekani, kwani alikuwa na hasira nao kwani Marekani ilishajaribu zaidi ya mara hamsini kumpoteza (assassins) kwa mbinu mbali mbali mpaka kumpandikizie mke ili amuue, ila jamaa alisavavu. Kilichofanya jamaa asiilipue Marekani ni kwamba Warusi hawakupeleka funguo zote za ku-launch nuclear kwa Castro, one key among the five, ilikuwa controlled from Moscow. Unaambiwa Castro alikuwa anamtwangia call bwana Khrushchev, kiongozi wa Usoviet wakati huo, kwamba mwana vipi? kama vipi bonyeza kitufe na wewe huko ili madude yakafanye yao.
Marekani kwa uspy wake akagundua kwamba USSR ndio anambania Cuba kwenye hilo kwa sababu hata yeye kwake amekaliwa kooni. Lakini tension iliongezeka sana huko Marekani maana huwezi jua Mrusi nae atakuwa na busara mpaka lini iko saa au siku anaweza akaitwa ujinga na Cuba.
RAaia wa hayo majibo ya west wakaanza kuhamishwa, miji ikakaliwa na majeshi, majeshi yakapangwa kuelekea Cuba, mabomu ya hatari yakaelekzwa Havvanah na Moscow sasa. Yaani hali ilikuwa ni critical. Huku Kennedy snspewa presure na maafisa wake kwamba awe kwanza kuwawahi maadui, the same kule USSR makamanda wanampa presha Khrushchev, kama vipi awawahio jamaa. Lakini maraisi wote wakasimama ngangari kwamba tusubiri.
Sasa unambiwa bhana siku moja mnamo October 1962, manowari moja ya USSR yenye mabomu ya mitambo ya kulipulia nyuklia kama tani 1000 iliokuwa inafanya survey chini ya maji ready for any attack ilipoteza mawasilano kama siku mbili hivi ikawa inaranda randa tu huko chini. Kuja kushtuka ikajikua imetokezea kilometer chache sana pwani ya Uturuki eneo ambalo lilikuwa chini ya umiliki wa Manowari za Kimarekani. Bana bana unambiwa pande zote zilivurugwa. Mmarekani haelewi kama jamaa wamekuja kwa heri ama kwa shwari? Walipue au wasikilizie. Jamaa hawana hata ishara ya amani lets say bendera nyeupe.
Haraka sana manowari za Marekani na NATO yake zenye nukes zikaizunguka ile manowari. Ilikuwa very critical ile. Ni siku ambayo ilikuwa inaenda kuamua mstakabari wa dunia hii na viumbe vyake waliomo. Wamerekani wakapeleka ujumbe ile manbowari ijisalimishe, lakini ile manowari ilikuwa haina mawasiliano kwa hiyo hawakujibu chochote. Basi unaambiwa bhana manowari moja ya Marekani ikarusha kombora tupu ambalo halikuwa na kichwa cha nyuklia kama ishara kwamba tunawaona na tunaweza kuwalipua, so mjisalimishe.
Hee, wale jamaa kule chini kwenye manowari ya USSR wakajua labda vita imeanza na wanatakakiwa kujibu mashambulizi. Jamaa wakaanza kulaunch mitambo iloi kuzilipua zile manowari zilizowazunguka huku wakijua wote watakufa. Sasa kwenye zile manowari za USSR kulikuwa na funguo tano ambao kila key ilikuwa operated na mtu mmoja ili kuweza kulaunch hayo mabomu. Watatu wakwanza walishayawasha system zao.
Kwa bahati sana bwana Vachili alikuwa muungwana sana. Na hapa nasema bila woga kwamba huyu bwana ajengewe sanamu kwenye kila kambi ya jeshi duniani maana aliiokoa dunia dhidi ya vita ya kutumia mabomu ya nyuklia ambapo wababe wawili wa wakati huo walitaka kuinagamiza dunia kuutokana akilizao mbovu.
Huyu bwana aliwagomea wenzie kwamba hatuna uhakika lengo la aliorusha empty missile. Wenzie wanamwambia huyo lengo ilikuwa ni kuwalipua ila mzinga umegoma kulipuka. Wasiwe wanyonge wasife kifala kwani ni bora wao watumie nyuklia kwa mara ya kwanza tangu itengenezwe ili waone inavofanya kazi.
Bwana Achilli akawaambia, wangekuwa na nia ya kutulipua mpaka muda muda tungekuwa tumeshachakazwa kitambo, Ndio kidoddgo ikawaingia akilini wale wapuuzi wengine hivyo ikawa pona pona yao. Baada ya muda mawasiliano yakarudi. Walipata mawasiliano kwamba vita haijaaza warudi kwenye eneo lao, Wakatoa signo kwa wamarekani kwamba hawajaja kuliapuana kwa muda huo ila walipotea njia tuu.
The world as we know it would end with billions dead and economic destruction.