Haaaaaaaahaaaaaaaa elimu ilikuwepo hata kabla ya ujenzi. Kabla ya kuwa na madarasa elimu ilikuwa ikitolewa kwenye maeneo husika. Kama ni uvuvi ukifanyika majini. Na hii ilikuwa elimu ya Mwafrika. Lakini elimu ya mzungu ndio ikaja na madarasa. Kwani wazungu hawakuweza kufanya kazi juani. Hivyo wakaamua kujenha madarasa.
Haikuishia hapo, kwa kuwa kulikuwa na madarasa wakaamua kuyapa majina na ndio kukawa na darasa. Haya ndio mawazo yangu