Historia ya jina la Yanga

Glasnost

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Posts
266
Reaction score
259
Habari,

Kwa muda mrefu sasa nimejaribu kufahamu na kujua chimbuko na historia ya jina YANGA lakini sijapata jibu.

Pia napata tabu kujua tofauti kati ya Yanga na Young Africans kutumiwa na timu moja katika matukio ya mechi za kitaifa na kimataifa.

Basi kwa faida yangu nitafurahi kujua zaidi kutoka Kwa wadau wenye uelewa mpana juu ya jambo hili.
 
Ni mambo yale yale ya signal kuitwa ziginal, checkline kuitwa chekereni.. Kifupi wazaramo walishindwa kutamka young wakasema YANGA

Ni mambo yale yale ya signal kuitwa ziginal, checkline kuitwa chekereni.. Kifupi wazaramo walishindwa kutamka young wakasema YANGA.
Una utani na Wazaramo sio?
 
Walikuwa wanakula ugali wa njano kambini ,ugalinaarufu kama yanga
 
Kwakuwa utopolo wengi ni uneducated toka zama hizo walishindwa kutamka young /yang/ ndio wakatamka yanga hakuna jipya zaidi ya kukosa elimu.
Nini asili ya jinaTemeke Wailesi au Kariakoo? Au Msasani? Usipende kujifanya mjuaji huku ukianika umbumbumbu wako hadharani.
 
Jiunge na app ya Yanga, lipia elfu kumi pale utasoma kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…