Historia ya Kabila la Wadigo

Wadigo hawatoki Mali.
Vp weye?
Data hizi feki wazitoa wapi?
Wadigo pamoja na nduguzao Wa Mijikenda waishio Kenya walitokea Shungwaya karibu na Kismayu nchini SOMALIA kusini karibu na Lamu/ Tana Kenya.
Wewe watoa MALI, Timbuktu wapi?
Halafu si 'Wambokomu' bali ni POKOMO
Wamijikenda kama Wabantu wengine walitka Kongo ila wao wakahamia Kismayu na wakakaa na Waswahili na hapo ndipo Kiswahili kikaanzia maeneo ya Lamu na Tana, pwani ya kaskazi ya Kenya.
Tafadhali thibitisha habari kabla ya kuweka data hadharani ili usiwapotoe wanaotaka kujifunza.
 
wadigo wanaamini chungu hakikai ktk figa moja. ukioa mdigo ujue umeolea na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…