Elections 2010 Historia ya kanisa inajirudia

Elections 2010 Historia ya kanisa inajirudia

kwamwewe

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2010
Posts
1,908
Reaction score
604
[video]http://blip.tv/mzalendonet/wakristo-wa-tanganyika-walishirikiana-na-wajerumani-kuwaua-waislam-2-5442111[/video]
 
[video]http://blip.tv/mzalendonet/wakristo-wa-tanganyika-walishirikiana-na-wajerumani-kuwaua-waislam-2-5442111[/video]

Ukiwa huna muda basi tafadhali SIKILIZA DAKIKA 5 ZA MWISHO. Hapa umetolewa ushahidi wa kuifanya nchi isitawalike uliopangwa na mh Slaa. Adha gani huyu Dikiteta anataka kutuletea. Ama kweli kazi ipoooooo.
 
ikiwa hii ndio kazi ya kanisa tz kuna kazi

seo4.jpg
signature.jpg

xiaoliu3.jpg
 
Hapa umetolewa ushahidi wa kuifanya nchi isitawalike uliopangwa na mh Slaa. Adha gani huyu Dikiteta anataka kutuletea. Ama kweli kazi ipoooooo.
Hata mimi naweza kuifanya nchi hii isitawalike kwa kuwa
1. Haina serikali per se
2. Wanaojiita serikali wanatuonea tu wananchi
Sasa formula ya kuifanya nchi isitawalike ni kuwaambia wananchi hizo fact mbili. Wakinuna tu nchi haitawaliki. Akina Ngonda ambao nahisi wana maslahi fulani na mfumo huu pekee watalilalamikia hilo. BTW mwenye uwezo wa kuifanya nchi itawalike au la kwa kusluhisha mambo hayo mawili ni rais wako!
 
Ni njia ya kuvutia kasi muda wa kufuturu! Swaumu inahitaji moyo!
 
Back
Top Bottom