Historia ya Kiswahili kuelekea usanifishaji

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,834
Reaction score
1,055
vp kiswahili kilisanifishwa je ilichukuliwa lahaja moja ya kiswahli na kusanifishwa auwalichukua lahaja mbalimbali ikasanifishwa. kama wakuu kuna mtu atanijuza hili ntafurah sana maana katika maswali ambayo ckuwah kuyapatia majibu hli ni moja wapo
 
lahaja ziikuwa nying sana bt kiswahili kilisanifishwa kwa kutumia lahaja ya kiunguja na hii ilitokana na kuwa na watumiaj weng zaid
 
na daru ssalama walikuwa wanazungumza lahaja hiyo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…