๐—›๐—ถ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐˜๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—›๐—ถ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ ๐—ก๐—ผ๐˜๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ



Miaka imekwenda toka enzi hizo watu wanatumia shilingi moja, mbili, senti moja nk maisha ya Watanzania yalibadilika baada ya utambulisho wa Noti kwenye Pesa za Nchi.



Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ilianza kutumia shilingi mwaka 1921 ambayo ilikua ya Afrika mashariki mpaka kufikia mwaka 1966 Nchi ya Tanzania rasmi ikatambulisha sarafu zake mwenyewe.



Tulianza kutumia shilingi ya note ya kwanza ilikua shilingi hamsini 50 ilikua mwaka 1985, ikaja shilingi 200 mwaka 1986, ilipofika 1989 tukatambulisha Shilingi 500 na shilingi 1000 mwaka 1990.



Baada miaka 21 kupita kwa mara kwanza tukatambulisha Shilingi ya Noti ya elfu kumi kupitia benki kuu ya Tanzania ilikua mwaka 2011 ambapo ndo pesa ya thamani zaidi nchini Tanzania.



Hapo tukaanza kutumia noti kuanzia 500, 1000, 2000, 5000 na 10000 ilipofika mwaka 2020 Tanzania ikaondoa Noti ya 500 na kuirudisha kwenye Sarafu ikafanyiwa mabadiliko kidogo ya Noti ambapo zilikua kubwa zikapunguzwa kwaiyo zikawa hivi;

๐Ÿ”† Noti ikaanzia 1,000/=
๐Ÿ”† Noti ya 2,000/=
๐Ÿ”† Noti ya 5,000/=
๐Ÿ”† Noti ya 10,000/=





Wewe ulianza kutumia nini sarafu au umekutana na Noti toka umezaliwa au umekuja Tanzania tuachie maoni yako ?
 
Soma pia hapa kwa mzee kichuguu alichambua sawasawa na kwa kina kiprofesa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ