Jana nilienda nyumbani lounge pale,jide alikuwa anazindua single yake mpya inayokwenda kwa jina la HISTORIA,ki ukweli imetulia sana,ni wimbo unaohusu maisha na historia ya kawaida ya mwanadamu kabla na baada ya kifo,for me its another bomb...big up jide..soon itakuwa on radio stations
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hivi kweli huna uwezo wa kununuwa albamu kwa shilling 5000 tu? hii dezo dezo itawapeleka wapi? kama wewe ni mshabiki kweli wa Jide nunuwa albamu na hiyo nyimbo ipo humo.
- Ngoja tuisubiri.
- Je huo wimbo ni mzuri zaidi ya wimbo wa YAHYA? Kama ni ndio sipati picha video yake itakuaje.