Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Apia!!!!mbona picha hazifunguki??
Kweli bujiApia!!!!
zinafunguka hata kama hauna bundle via free basic. labda kama unatumia Nokia kitochi.Picha hazifunguki
jamaa ni Nowma sana yule.mshana jr ni guru wa field zote
labda tunaotumia mobile app ndio zinagoma kufungukazinafunguka hata kama hauna bundle via free basic. labda kama unatumia Nokia kitochi.
kama unatumia Jf App ni lazima uwe na bundle Mkuu. tumia Operamini kuingia free basic wala haitakusumbua .labda tunaotumia mobile app ndio zinagoma kufunguka
Dah...umecheki bando lakini chief? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mbona picha hazifunguki??
Ebwana eeh kufungua picha tu unatukana simu za wenzako!!?zinafunguka hata kama hauna bundle via free basic. labda kama unatumia Nokia kitochi.