Historia ya maisha ya Mwalimu Nyerere (Audio)

Mwanaginingi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2014
Posts
464
Reaction score
399
Katika kuelekea siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl J.K.NYERERE nimeandaa historia fupi ya maisha ya Mwalimu!Tafadhali sikiliza sehemu hii ya kwanza,usisite kutoa maoni na ushauri pia ruksa kupakua na kusambaza kwa wengine!

Tunaendelea na historia ya maisha ya mwl Nyerere!Hii ni sehemu ya pili!Tafadhali sikiliza kisha wasambazie na wengine kusikiliza.Maoni na ushauri ruksa
 
Attachments

Aisee kama umeshaziandaa fanya uziporomoshe zote tu mkuu maana nimejikuta nanogewa kusikiliza na kujua zaidi.

Hongera sana, kazi nzuri.
 
shukrani sana kaka kesho mzigo mwingine unakuja
ipo hapa pia
 
Back
Top Bottom