Mwanaginingi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 464
- 399
shukrani kaka,maoni na ushauri ruksa pia waweza kupita hapani nzuri sana kaka umejitahidi, ngoja niipakue kwanzaaa
shukrani sana kaka kesho mzigo mwingine unakujaAisee kama umeshaziandaa fanya uziporomoshe zote tu mkuu maana nimejikuta nanogewa kusikiliza na kujua zaidi.
Hongera sana, kazi nzuri.
Naam!Hongera Sana Kaka!!Tumkumbuke Mwalimu Nyerere