zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
THE SLAUGHTER OF HUTU REFUGEES IN DRC - RWANDA DEMOCRACY WATCHMkuu zito junior!!! Umepatikana sasa wewe unasema umeishi maziwa makuu ila umeishi kwa kupinga na kuponda saana!! Wanaongelea maji wewe umeshupalia uji, kwa hiyo wahutu waliouwawa mwaka 1998 baada ya kuingia nchini wakitokea Congo?? Ebu tulia usome kama tunavyosoma sisi!! Kumbuka wote wanaokimbia nchi kama Akina nyamwasa ni sababu ya kutaka ututsi uendelee ila kagame anataka serikali Sawa kwa wote!!
Naomba utulie tuendelee kujisomea thread ya bold wewe upo unatujazia tuu kwa mihemko yako ya kutopenda watutsi!! sisi huku tunasoma na kushare kila kitu scholarship tu napata wote!! Cjui uhutu na ututsi hatunaga ushaishaga
The Rwandan Patriotic Front (HRW Report - Leave None to Tell the Story: Genocide in Rwanda, March 1999)
Kibeho 1995: a massacre forgotten in Rwanda’s 20-year history - Jambonews EN
Kabila Army's Mass Murder of Rwandan Hutu Refugees
Kama hamna uhutu na ututsi ntajie waziri mmoja tu ambaye ni muhutu?? Uhutu na ututsi upo sana ndio maana yule padri wa kihutu alivyoachiwa watutsi mliandamana sasa hapo unataka kusema uhutu ututsi umeisha?? Acheni kudharau wahutu bhana nao ni binadamu kma nyie