maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
A very poorly unproffessional directed video shooting...it does not qualify the name 'documentary'
lakini mkuu turudi kwenye ukweli...ni karne nyingine lakini mbna sisi ni tofauti sana na wao sizungumzii uigizaji bali events zilizokua zinaonyeshwa paleA very poorly unproffessional directed video shooting...it does not qualify the name 'documentary'
Nimeangalia documentary ya chief mkwawa leo,kuna kitu nitawauliza waliokiona je kuna namna Yoyote tunalingana nae? Wanaume wa sinza wanaopaka poda,wa kinondoni wenye vitambi na makunyanzi.... Masharobaro.. Je tukiangalia kiundani je hatujapoteza utamaduni weTu? Je sisi ni wanaume au?
A very poorly unproffessional directed video shooting...it does not qualify the name 'documentary'
kweli kabisaWivu. Mbona wewe hujatayarisha hiyo yako tukaiona? Kazi kulaumu wenzenu wala nyinyi hamuwezi hata nusu ya hiyo.
kweli mkuu namuona hapo kwenye avatar yakoSiku hizi hakuna wanaume wa ukweli,mtu hawezi hata kubeba debe moja la mahindi,sasa huyo utamwita mwanaume?