Historia ya Morogoro, nne ya kirumi na asili ya boka, nyoka mwenye vichwa saba katika milima ya Uluguru

Hizi stori ukiwa moro lazima uipate
Nilipokuwa nasoma ile iv unaiona vyema kule milimani, na manyoka yanayolalia rubi
 
mtoa mada ujipange sana katika kugombea ubunge Kuna yule mwenye mabasi mekundu yupo vizuri kiuchumi sema pambana kura yako moja ipo hapa
 
Mkuu unajua chochote kuhusu sehemu inaitwa Moon site kama sijakosea huko Juu ya Milima ya Ulugulu!?
Ni sehemu flani hata ikiwa usiku ila kuna Mwanga kama mchana.
 
Mkuu umenikumbusha Yani huo msitu wa kibungo ukipita usiku unaweza jihisi uko amazon
 
Mkuu unajua chochote kuhusu sehemu inaitwa Moon site kama sijakosea huko Juu ya Milima ya Ulugulu!?
Ni sehemu flani hata ikiwa usiku ila kuna Mwanga kama mchana.
morning side
 
Stori ni nzuri ila kwa upande wa hilo Joka liitwalo BOKA kufanya safari zake za kuhama kwenda BAHARINIA hapo ndo sijaelewa alikuwa anakwenda BAHARI gani kwa kupitia njia gani kwa huko Moro mji kasoro bahari...Na hapo sehemu anazohama kuacha hazina ya Mafuta hii imekaaje
 
Anapita huo mto Ruvu wa Kibungo Morogoro ndio huo huo mto Ruvu wa Mlandizi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…