Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mchezo wa mpira wa miguu (football) ulianza kuchezwa kwenye shule za watoto wa matajiri (Public Schools) nchini Uingereza. Mnamo karne ya 19. Mchezo huu ulienea na kupendwa sana kwenye makolini ya Uingereza. Sasa hivi umekuwa ni mchezo unaoiunganisha dunia.
Hii ndiyo sababu kubwa Waingereza wakishangilia tiny yao wanaimba “Is coming home, is coming home”. Wakimaanisha kombe linarudi nyumbani.
Hii ndiyo sababu kubwa Waingereza wakishangilia tiny yao wanaimba “Is coming home, is coming home”. Wakimaanisha kombe linarudi nyumbani.