Kila analofanyaga mnaiga sasa igeni na kutembea pekupeku,,,
Ni mmoja wa wasanii wabunifu bongo
Mmoja wa wasanii ambae sio rahis kumcopy
Msanii ambae anapiga hela nying za wazungu
Msanii ambae anaanda ndege bila viatu mpka ulaya
Msanii ambae ni yy pekee anaewakilisha nchi ktk matamasha ya tamaduni mbalimbali za dunia
Msanii ambae tungo zake zina mafumbo makubwa sana
Msanii ambae harus yake ilikua na vtu yte vya kiasili
Msanii ambae ana akialikwa ikulu anaenda pekupeku
Msanii ambae alikuaga kuli pale kigoma
Msanii anaetumia NDAGU ya kutembea peku ili afanikiwe