Hivi huwa mnatumia nini kufikira ? Kajikomba kwa nani sasa?Njaa tu na wala siyo ubunifu, jitu la kujikomba....
hahahah mkuu ulikuwa kama mimi. Leo kuna jamaa nimemkuta anaangalia shumileta, naona haitishi kama zamani kipindi bado dogo.Haha, nakumbuka movie zilizokuwa zinanitisha ni Nsyuka na Roho mbili...
nilikuwa nikitazama nsyuka basi ndani siingii pekeangu hata nikitumwa,
na roho mbili ilinitesa sana kwenye suala la kwenda Toilet... Nilikuwa nikioga sijipaki sabuni usoni manake sikutaka kufumba macho hata sekunde moja kwa hofu ya kutokewa na roho mbilii
Nimewahi kuhudhuria baadhi ya kazi zake.. Jamaa anahitahidi kiasi chake...mie binafsi namkubaliNjaa tu na wala siyo ubunifu, jitu la kujikomba....
Ndagu sio kitu cha kisport sportNingependa kujua zaidi kuhusu hili.
Mara kadhaa nimemuona kwenye mahojiano akiwa peku.
Ila bado sijajua sababu hasa nini?
Funguka zaidi mkuu kuhusu NDAGU
Unataka maana neno dhifa au tafsiri yake kwa kiingirishi.Hivi mkuu, nini maana ya dhifa?
Ukinisaidia neno lake la kiingereza itakua poa sana!!
Heading: Naomba kujua historia na maisha ya Mrisho Mpoto mpaka sasa hivi Nukta. Hapo tungejua unataka nini. Tumekurupuka kumsoma kumbe unauliza na wewe? Ninachojua na kuona ni kwamba havai viatu, anaghani mashairi yasiyo na mpangilio ambayo tunaita mashairi ya kisasa siyo yale yenye vina na vituo. Ni mwana CCM damu, mzaliwa wa Mikoa ya Dar na Pwani au tuseme ni mtu wa hapa hapa siyo wa kuja. Zaidi sijui ila hawezi kuimba ila kuongea tu basi.Salam wakuu.
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu background ya ndg yangu, kaka yangu Mrisho Mpoto. Amezaliwa wapi, amesoma wapi na n kabila gank huyu mtu.
Uvaaje wake wa magunia source yake n nn?Haonagi aibu au familia yake inamwonaje labda!
labda tu mwenye A.B.C za Mpoyo atiririke hapa chap.
asante.
Kwani hili linaukweli kwamba ndiye yule wa INSYUKA..?Nilikuwa sijui kama Mrisho mpoto ndio yule aliye act muvi ya NSYUKA(mzuka)...
aisee ile muvi nilikuwa naiogopa sana
Fafanua Mkuu,Bange zimemsaidia hapo alipo
khaNi Msaka Tonge Aliyejitoa Akili Hasa Awamu Hii
Roho mbili bila kukosea nadhani mtunzi ni Sultan Tamba huyu Jamaa alitengeneza Filamu nyingi za kutosha bila kumsahau Mussa banzi-shumileta.Haha, nakumbuka movie zilizokuwa zinanitisha ni Nsyuka na Roho mbili...
nilikuwa nikitazama nsyuka basi ndani siingii pekeangu hata nikitumwa,
na roho mbili ilinitesa sana kwenye suala la kwenda Toilet... Nilikuwa nikioga sijipaki sabuni usoni manake sikutaka kufumba macho hata sekunde moja kwa hofu ya kutokewa na roho mbilii
Aisee kwa hiyo huwa anawavua bikin* tu.Anapenda totoz hatari
Aisee Musa na Sultan sijui wamepotelea wapiRoho mbili bila kukosea nadhani mtunzi ni Sultan Tamba huyu Jamaa alitengeneza Filamu nyingi za kutosha bila kumsahau Mussa banzi-shumileta.
Mama aliomba mzigo nn?Anapenda totoz hatari
Nyakati zinakwenda Mkuu,Dunia inabadirika shehke wangu aisee.Aisee Musa na Sultan sijui wamepotelea wapi
Enzi hizo uko darasa LA pili[emoji1] [emoji1]Nilikuwa sijui kama Mrisho mpoto ndio yule aliye act muvi ya NSYUKA(mzuka)...
aisee ile muvi nilikuwa naiogopa sana