Historia ya Ng'wana Malunde

Africa ilipokuwa Africa, tulikuwa na dini zetu, mifumo yetu ya utawala, celebrities wetu wa ngoma za jadi, mashujaa wetu, nk lakini wazungu wamevuruga kila kitu natamani ningezaliwa kipindi iko😭😭😭
Hata kama wazungu wasingekuja Africa, i don't think tungebakia hivyo hivyo miaka nenda rudi hapana. Asili ya mwanadamu ni maendeleo ndiyo maana katika kila karne aliyopitia alikuwa anavumbua vitu ili kuelekea kwenye maendeleo.
 
OK,

linapatikana Mwanza wilaya gani
 
Huku kwetu singida waliokuwepo watemi Noma,alikuwepo Miaaly,alikuwepo Shulua alijitokeza baada ya familia yake kuteswa Sana na wajerumani na alinyongwa kikimatinde na kicha chake kiko ujerumani mpaka leo
 
Mkuu miujiza ipo kwa koo na makabila mengi hapa Tanzania.
Sema tushatekwa fikra na wajuao kutumia watu
 
Huyu jamaa angekuwepo Leo angekuwa nabii
 
Africa ilipokuwa Africa, tulikuwa na dini zetu, mifumo yetu ya utawala, celebrities wetu wa ngoma za jadi, mashujaa wetu, nk lakini wazungu wamevuruga kila kitu natamani ningezaliwa kipindi iko😭😭😭
Ungekuwa ushavurugwa
 
Usukumani akitoka mwanamalundi kwa umaarufu anafuata Pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…