Historia ya Palestina

Historia ya Palestina

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Kozi fupi ya historia ya DOLA YA KIPALESTINA:

1. Kabla ya Israel, kulikuwepo na mamlaka ya Waingereza, siyo dola ya Kipalestina.

2. Kabla ya mamlaka ya Waingereza, kulikuwepo Dola ya Ottoman, siyo dola ya Kipalestina.

3. Kabla ya Dola ya Ottoman, kulikuwepo dola ya Kiislamu ya Mamluk wa Misri, siyo dola ya Kipalestina.

4. Kabla ya dola ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo Dola ya Ayubid ya Waarabu na Wakurdi, siyo dola ya Kipalestina.

5. Kabla ya Dola ya Ayubid, kulikuwepo Ufalme wa Kikristo wa Wafaransa wa Yerusalemu, siyo dola ya Kipalestina.

6. Kabla ya Ufalme wa Yerusalemu, kulikuwepo Dola za Umawiyya na Fatimid, siyo dola ya Kipalestina.

7. Kabla ya Dola za Umawiyya na Fatimid, kulikuwepo Dola ya Byzantine, siyo dola ya Kipalestina.

8. Kabla ya Dola ya Byzantine, kulikuwepo Dola ya Wasasani, siyo dola ya Kipalestina.

9. Kabla ya Dola ya Wasasani, kulikuwepo Dola ya Byzantine, siyo dola ya Kipalestina.

10. Kabla ya Dola ya Byzantine, kulikuwepo Dola ya Kirumi, siyo dola ya Kipalestina.

11. Kabla ya Dola ya Kirumi, kulikuwepo Dola ya Hasmonea, siyo dola ya Kipalestina.

12. Kabla ya Dola ya Hasmonea, kulikuwepo Dola ya Waseleuki, siyo dola ya Kipalestina.

13. Kabla ya Dola ya Waseleuki, kulikuwepo Dola ya Alexander Mkuu, siyo dola ya Kipalestina.

14. Kabla ya Dola ya Alexander Mkuu, kulikuwepo Dola ya Uajemi, siyo dola ya Kipalestina.

15. Kabla ya Dola ya Uajemi, kulikuwepo Dola ya Babeli, siyo dola ya Kipalestina.

16. Kabla ya Dola ya Babeli, kulikuwepo Falme za Israeli na Yuda, siyo dola ya Kipalestina.

17. Kabla ya Falme za Israeli na Yuda, kulikuwepo Ufalme wa Israeli, siyo dola ya Kipalestina.

18. Kabla ya Ufalme wa Israeli, kulikuwepo theokrasia ya makabila kumi na mawili ya Israeli, siyo dola ya Kipalestina.

19. Kabla ya theokrasia ya makabila kumi na mawili ya Israeli, kulikuwepo muungano wa miji-ufalme ya Wakanaani, siyo dola ya Kipalestina.

20. Kwa kweli, katika ardhi hii kumewahi kuwa na kila kitu, ISIPOKUWA DOLA YA KIPALESTINA.
 
huwezi kuwaona wafia dini hapa zaidi watasema Israel imepora ardhi ya wapalestina
 
Ndugu Rick Blair kwanini usini acknowledge kwanza kabla hujaflow na madini yangu??

Huu uzi upo humu toka mwaka jana. Huu hapa:-

Back
Top Bottom