Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Hizo hoja zako zisizokua na kichwa wala miguu siwez poteza kukujibuHiyo ni biblia ipi unayoongelea , KJV, RSV , Douay , NIV , Mormon bible au ipi kati ya maelfu ya biblia tofauti ??
Hizo hoja zako zisizokua na kichwa wala miguu siwez poteza kukujibu
Biblia ni moja ila wachapishaji ni wengi na wanatofautiana na kama hili hulijui sina mda wa kukuelewesha
Bible translation | ||||||||||||||||||||||||||
| Passage | NIV | NASB | NKJV | NRSV | ESV | HCSB | NET | NLT | WEB | REB | AMP | CEB | CJB | CEV | ERV | GW | EXB | GNT | Knox | LEB | MSG | Mounce | NIrV | NLV | OJB | NWT |
| Matthew 9:34 | F | |||||||||||||||||||||||||
| Matthew 12:47 | F | F | F | F | F | O | F | F | F | |||||||||||||||||
| Matthew 17:21 | F | B | F | O | F | B | O | F | F | F | O | O | O | F | O | O | O | O | O | |||||||
| Matthew 18:11 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | O | ||||||
| Matthew 21:44 | F | F | B | F | F | F | O | F | F | F | F | O | ||||||||||||||
| Matthew 23:14 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | O | ||||||
| Mark 7:16 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | F | O | O | O | F | F | O | O | O | O | O | ||||||
| Mark 9:44 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | O | O | O | O | O | F | O | O | O | O | O | ||||||
| Mark 9:46 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | O | O | O | O | O | F | O | O | O | O | O | ||||||
| Mark 11:26 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | B | O | ||||||
| Mark 15:28 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | B | O | |||||
| Mark 16:9–20 | B | B | F | F | B | B | B | F | B | F | F | B | F | B | B | B | O | |||||||||
| Luke 17:36 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | F | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | O | |||||
| Luke 22:20 | F | F | F | F | O | |||||||||||||||||||||
| Luke 22:43 | B | F | F | B | B | F | F | F | F | B+F | ||||||||||||||||
| Luke 22:44 | B | F | F | B | B | F | F | F | F | F | B+F | |||||||||||||||
| Luke 23:17 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | F | O | O | F | O | O | F | O | O | O | O | B | O | ||||
| Luke 24:12 | F | F | O | F | ||||||||||||||||||||||
| Luke 24:40 | F | F | F | |||||||||||||||||||||||
| John 5:4 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | B | B | O | |||||
| John 7:53–8:11 | B | F | F | B | B | B | F | B | B+F | O | ||||||||||||||||
| Acts 8:37 | F | B | F | F | F | B | O | O | F | F | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | B | B | O | |||
| Acts 15:34 | F | B | F | O | F | O | O | O | F | F | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | B | O | ||||
| Acts 24:7 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | F | O | O | O | O | O | O | O | B | O | |||||||
| Acts 28:29 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | B | O | |||||
| Romans 16:24 | F | B | F | O | F | B | O | O | F | F | O | O | O | O | F | O | O | O | O | O |
Hizo hoja zako zisizokua na kichwa wala miguu siwez poteza kukujibu
Biblia ni moja ila wachapishaji ni wengi na wanatofautiana na kama hili hulijui sina mda wa kukuelewesha
Mimi sitafuti ukweli sababu kweli tayari ipo ndani yanguKama unatafuta ukweli angalia na hii documentary ya BBC , lakini inaondolewa kila mara lakini jamaa huipost tena
View: https://youtu.be/DjW-df7qJaM
Mimi sitafuti ukweli sababu kweli tayari ipo ndani yangu
Wewe ndo unayetafuta ukweli ndo unayetakiwa uangaike na hizo video
Hiyo video hata sijapoteza mb kuiangaliaBwana Yesu alisema kuna wengine mioyo yao ni migumu . labda mmoja wao ni wewe
Mimi kazi yangu ni kukufahamisha tu na kukuwekea ushahidi , kama unaona hiyo ni video tu sawa. Kila mtu atabeba mzigo wake
Hiyo video hata sijapoteza mb kuiangalia
Nibaki nazo nawakati hata sijadownload kabisabaki nazo ukazitumie ukifariki 😛 😛
Nibaki nazo nawakati hata sijadownload kabisa
Uwezo wako ni mdogo sana wa kifikra sikulaumuUtakwenda kudownolod hiko kaburini
Uwezo wako ni mdogo sana wa kifikra sikulaumu
Usitumie nguvu kwa mambo ambayo kwako hayakuongezei chochote kile
Taqbiiiiiiiiiiiirrrrrrrr
Kwani ni lazima mimi naamini biblia haina tofautiSawa mimi nimekuonyesha hizo biblia na tofauti zao , pamoja na hao wanaokuandikia hizo biblia wanavyokuambia kuwa hakuna hata moja iliyofanana na nyengine sasa kama kijana uko na blind faith , huo ni uamuzi wako
Jenga hoja wacha kulalamika kijanaKwani ni lazima mimi naamini biblia haina tofauti
Usitumie nguvu kubwa kunlazimisha
Mfano nikiwa na blind faith wewe inakupunguzia nini
Nishajenga hoja angalia reply zangu za mwanzoJenga hoja wacha kulalamika kijana
JibuAkili matope kabisa unaongea nini sasa
Kwani ni lazima mimi naamini biblia haina tofauti
Usitumie nguvu kubwa kunlazimisha
Mfano nikiwa na blind faith wewe inakupunguzia nini
Nani alimuona huyo malaika jibril? Mna uhakika gani alikuwa ni mtume kweli? Tuelezeni ilikuwaje akaoa kitoto kidogo?HISTORIA YA QUR'AN.
SEHEMU YA KWANZA 01.
Asalaam Alaykum Warahmatullah Wabaarakatuh, Kila Sifa njema anastahiri Mwenyezi Mungu Mola mlezi wa Walimwengu wote, na Sifa njema zimuendee Kipenzi chetu Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم na Radhi za Allah ziwashukie Maswahaba zake na wema waliotangulia.
Moja kwa moja niingie Katika DARASA Jipya la HISTORIA YA QUR'AN, historia ambayo imebeba mambo mengi mno yakujifunza. InshaaAllah, Fuatana na Mimi kuijuwa Historia ya Qur'an... 👇
Nini Maana ya Qur'an.
👉 Qur-an ni wahy (ufunuo) kwa Mtume Muhammad (s.a.w) kutoka kwa Allah (s.w) kupitia kwa Malaika Jibril (a.s). Au Ni Maneno ya Mwenyezi Mungu kwa Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم kupitia Malaika Jibril عليه سلم.
HISTORIA yake...
Qur-an ilianza kumshukia Mtume Muhammad (s.a.w) mwaka 610 A.D. alipokuwa na umri wa miaka 40. Mtume Muhammad (s.a.w) alianza kushushiwa Qur-an akiwa pangoni katika mlima Hira (Jabal Hira) katika usiku wa mwezi wa Ramadhani kama Qur-an yenyewe inavyotufahamisha:
👉 "Ni mwezi wa Ramadhani ambamo imeteremshwa hii Qur-an" (2:185)
👉"Hakika Tumeiteremsha (Qur-an) katika Laylatul-Qadr (usiku wenye hishima kubwa). Na jambo gani litakujulisha (hata ukajua) ni nini huo usiku wenye hishima kubwa? Huo usiku wa hishima ni bora kuliko miezi elfu. Huteremka Malaika na roho (Jibriil) katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao kwa kila jambo. Ni amani (usiku) huo mpaka mapambazuko ya alfajiri." (9 7:1-5)
Tunajifunza kutokana na aya hizi kuwa mwezi wa Ramadhani umetukuzwa kutokana na Qur-an kuanza kushuka katika mwezi huu. Pamoja na funga kufaradhishwa kwa umma za Mitume wote wa Allah (s.w); kwa ummat Muhammad (s.a.w),funga imefaradhishwa iwe katika mwezi wa Ramadhani ili iwe ni pamoja na kusherehekea kushuka kwa Qur-an na kilele cha sherehe hii kinakuwa katika usiku wa hishima (Laylatul-Qadr) ambamo Qur-an ilianza kushuka. Mtume (s.a.w) alikuwa akizidisha kusoma Qur-an katika mwezi huu na alikuwa akikaa Itiqaf katika kumi la mwisho la Ramadhani ili aweze kudiriki kilele cha sherehe. Usiku wenye hishima (Laylatul-Qadr) ulifichwa kwa Mtume (s.a.w) lakini alifunuliwa na Mola wake kuwa unapatikana katika kumi la mwisho la Ramadhani. Ni sunnah kwa Waislamu kuzidisha kusoma Qur-an katika mwezi mzima wa Ramadhani na kukaa Itiqaf katika kumi la mwisho, ili kushiriki kikamilifu katika sherehe ya kumbu kumbu ya kuanza kushuka Qur-an.
Historia ya kuanza kushuka Qur-an kwa Mtume Muhammad (s.a.w) kupitia kwa Malaika Jibril (a.s) inasimuliwa vyema katika Hadith ya bibi 'Aisha (r.a) ifuatayo:
Bibi 'Aisha (r.a) amesema:" Kilichoanza katika Wahyi wa Mtume (s.a.w) ni ndoto za kweli. Alikuwa Mtume (s.a.w) haoti chochote isipokuwa kilitokea kama alivyoota. Kisha akaona ni bora kujitenga. Akawa anakwenda Jabal Hira kujilinda na maovu. Basi alikuwa anakwenda Jabal Hira akifanya ibada masiku mengi na alichukua masurufu kwa ajili hiyo. Masurufu haya kila yalipokwisha alirudi tena kwa Bibi Khadija, aliyemtayarishia masurufu kama yale (ya kwanza) mpaka ikambainikia haki akiwa pangoni Hira. Basi akamjia Malaika (Jibril) humo pangoni akamuamrisha kusoma, Mtume (s.a.w) alijibu: "Sijui kusoma". Alinibana kwa nguvu mpaka nikahisi taabu. Kisha akaniachia na kuniamrisha tena kusoma na nikajibu: Sijui kusoma: Kisha akanibana tena kwa nguvu kwa mara ya pili mpaka nikahisi taabu. Kisha akaniachia na kuniamrisha tena kusoma. Nilijibu tena, "sijui kusoma". Akanikumbatia tena kwa nguvu kwa mara ya tatu mpaka nikahisi mashaka, kisha akaniachia na akasema:
👉 "Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba. Amemuumba mwanaadamu kwa pande la damu. Soma na Mola wako ni Karimu sana.Ambaye amefundisha kwa msaada wa kalamu.Amemfundisha mwanaadamu mambo aliyokuwa hayajui." (96:1-5)
Mtume wa Mwenyezi Mungu alirejea na Wahy huu, huku akitetemeka kwa khofu aliyokuwa nayo. Alikwenda kwa mkewe Khadijah na akamhadithia yale yote yaliyomtokea kisha akasema;
"Nakhofia kuwa kitu kinaweza kunitokea ". Khadijah alijibu: "Hapana! Naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu hatakufedhehesha. Unakaa vizuri na kuwafanyia wema ndugu na jamaa zako, unawasaidia masikini na fukara, unawakirimu wageni na unawasaidia waliokabiliwa na matatizo. "Kisha Bibi Khadijah alimchukua Mtume (s.a.w) mpaka kwa bin-ami yake, Waraqa bin Naufal bin Asad bin Abdul Uzza, ambaye alikuwa Mkristo. Waraqa wakati huo alikuwa mzee sana na alikuwa hawezi kuona tena. Khadijah alimuambia Waraqa "Sikiliza hadithi ya mpwa wako, Ewe Bin-ami yangu" Waraqa aliuliza, "Ewe Mpwa wangu umeona nini?" Mtume wa Mwenyezi Mungu alimuhadithia habari yote kama alivyoona. Waraqa akasema: "Huyu ni yule mtunza siri (Malaika Jibril) ambaye Mwenyezi Mungu alimtuma kwa Mussa. Natamani ningelikuwa kijana na kuishi mpaka wakati huo watu wako watakapokukataa na kukufukuza." Mtume wa Mwenyezi Mungu akauliza: "Watanifukuza?" Waraqa akajibu kuwa watafanya hivyo na akasema, "Yeyote aliyekuja na kitu kama hicho ulichokuja nacho alifanyiwa uadui na watu wake, na ningejaaliwa kubakia hai mpaka siku hiyo watu wako watakapokufukuza, ningelikusaidia kwa hali na mali." Lakini baada ya muda mfupi Waraqa alifariki na Wahyi mwingine ulikawia kuja kwa kipindi kirefu. (Sahihi Bukhari)
Tunajifunza kutokana na Hadith kuwa kabla Mtume (s.a.w) hajaanza kushushiwa Qur-an kupitia kwa Malaika Jibril (a.s) alikuwa akipata Wahy kwa njia ya ndoto.
Qur-an yote kwa ujumla imehifadhiwa katika ubao mtukufu wa Allah (s.w) ulio katika Arshi yake kama tunavyofahamishwa katika Qur-an:
👉"Bali hii ni Qur-an tukufu iliyotolewa katika Lawhi Mmahfuudh (huo ubao uliohifadhiwa)." (85:21-22)
Kisha kutoka Lawhi Mmahfuudh Qur-an ilishushwa mpaka wingu wa kwanza. Kisha kutoka humo ikashushwa kidogo kidogo kwa Mtume (s.a.w) kupitia kwa Malaika Jibril (a.s) kwa kipindi chote cha Utume cha miaka 23.
👉"Kwa hakika hii (Qur-an) ni kauli (aliyokuja nayo) Mjumbe Mtukufu (Jibril), Mwenye nguvu na cheo cha hishima kwa Mwenyezi Mungu. (81:19-20)
Kama tunavyojifunza katika Hadith, aya za mwanzo kumshukia Mtume (s.a.w) ni aya tano za mwanzo za suratul-’Alaq. Aya zilizofuatia katika sura hii (96:6-19) zilishuka siku za baadaye.
Aya ya mwisho kumshukia Mtume (s.a.w) alipokuwa katika Hija ya kuaga (Hijjatul Wadaai) ni aya ya tatu ya suratul Maida (5:3) ambayo imeashiria mwisho wa wahy wa Qur-an katika sehemu ifuatayo:
👉 "Leo waliokufuru wamekata tamaa katika dini yenu, basi msiwaogope, bali niogopeni mimi. Leo nimekukamilishieni dini yenu, na kukutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu" Qur'an (5:3)
Pia tunajifunza kutokana na historia ya kushuka Qur-an kuwa sura ya kwanza kushuka nzima (ikiwa na aya zote) ni Suratul-Fatiha (Al-hamdu) na imekuwa ndio sura ya kwanza katika msahafu. Katika mtiririko wa kushuka suratul-Fatiha ni Wahy wa tano. Sura ya mwisho kushuka ikiwa nzima ni Suratun-Nasr, sura ya 114 katika utaratibu wa kushuka.
Inaendelea... InshaaAllah
Allah Ni Mjuzi Zaidi.
Kama haipunguzii kwanini unalazimisha mara mavideo ambayo sitakaa niangilie kwani nimekuambia nahitaji huo uongo unaoita ukweliMimi hainipunguzii wala kunizidishia , nilishakuambia wajibu wangu nimeshaufanya, Wewe kuamini na kutoamini si kazi yangu