Historia ya Qur'an

Ushaanza kutoka nje ya mistari kama kawaida yenu, si Biblia wala Qur'an ina maana kwetu Waafrika, tuna imani na mila zetu hapa Afrika.

Mungu wako ni yupi au ni yule Marehemu Wanyonyi ??

MAREHEMU WANYONYI

 
Michenzani hakuna wazungu labda hujafika Zanzibar
Nimesema hao uwaonao huko ni walalahoi tu na ndiyo maana unawaona huko Michenzani kwenu, sasa jiulize mtu una maisha mazuri hapa Bongo unaenda kuishi Michenzani, ana akili kweli huyo?
 
Laaahh mpaka naogopa....aliyeiandika ni nani?
 
Nimesema hao uwaonao huko ni walalahoi tu na ndiyo maana unawaona huko Michenzani kwenu, sasa jiulize mtu una maisha mazuri hapa Bongo unaenda kuishi Michenzani, ana akili kweli huyo?

Ikiwa wenye maisha mazuri wanakuja kulala kwenye mapaa kwa mamia kama kumbi , Hao walala hoi watakuwa vipi ??

😛😛😛
 
Nani alithibitisha kwamba kweli Mohamed alikutana na malaika Gabriel/Jibril? Maana kile kiube hakikujitambulisha jina,Mohamed alipanick sana mpaka akawa anahisi amekutana na shetani. Mkewe Bi Khadija akamfunika kitandani kisha akamuita mzee Waraq ambye alikua mkristo,mzee akahisi itakua Mohamed alikutana na Jibril. Tokea hapo kile kiumbe kikabaki na jina hilo.
 
Ikiwa wenye maisha mazuri wanakuja kulala kwenye mapaa kwa mamia kama kumbi , Hao walala hoi watakuwa vipi ??

😛😛😛
Jiulize sasa, nani mwenye akili timamu anatoka hapa Bongo kwenda kulala juu ya paa huko Michenzani? Hao ni wale wanaodanganywa na masheikh kwenda kuishi maisha mazuri peponi wakijiunga na ugaidi kusaidia Waislam wa Somalia na Yemen. Nakataa kabisa, huwezi kuwa na akili timamu ukatoka hapa Bongo kwenda kujifunza ugaidi Zanzibar na kulazwa juu ya mapaa ya nyumba Michenzani. Ndiyo maana mnaambiwa rudini shule, kusoma si dhambi, nani aliyewadanganya jamani?
 
Mohammed alikutana na shetani/ jini ndipo akapewa Qur'an, kumbukeni kuwa jamaa alichanganikiwa akawa anaitwa kichaa na akapotea kabisa mitaani. Aliporudi akasema alishukiwa na malaika Jibril na kupewa Qur'an, hakuna aliyemuamini kwa sababu alifahamika kama kichaa hapo awali. Sababu watu walikuwa hawamuamini akawa na hasira nao, akawa anawaua na kubaka wake zao ili wakizaa watoto waje kuwa Waislam. Jamaa alikuwa mtu wa hajabu sana.
 
Matured gani na alishindwa kusoma mara tatu zote alizobanwa na malaika akiambiwa asome
 
Kumbe uislamu umeanza wakati wa Mohamed!
haya leteni story za kuunganisha mambo 🤣
 
😂😂Sema masheikh wanajua kupiga spana
 
Yaani mwamedi kila mhusika mwanamme wa kwenye biblia anamwita Nabii.
Jamaa aliitukuza Biblia kupitiliza.
Pamoja na kuandikwa huku uarabuni, yeye ndio mwarabu pekee aliyejiandika kama mhusika wa kwenye Qurani anayodai kashushiwa
Wahusika wengine wote ktk Qurani ni Wayahudi.

Ndio maana Waislamu pamoja ya kuwa kitabu chao ni Qurani lakini kutwa kucha kuiongelea Biblia.
Waislamu wanaona kwamba bila Biblia basi Qurani yao itakosa maana.
 

Kwani wewe biblia yako ni ipi , KJV , Au QJV, AV , Au NIV, RSV ,Douay ,Au ipi Kati ya maelfu ya biblia tofauti???

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…