Historia ya Qur'an

Ndiyo mafundisho ya Nabii wako Tito ?
 

Yaani unawafanya hawa wamasai na wasukuma kuwa hawana akili , wewe mchaga ndiye mwenye akili ??
 
Haya ni maneno ya allah au Muhammad?
 
Haya ni maneno ya allah au Muhammad?

Soma hapa Mungu alisema

Deuteronomy 18:18-22 New International Version (NIV)
I will raise up for them a prophet like you from among their fellow Israelites, and I will put my words in his mouth. He will tell them everything I command him. I myself will call to account anyone who does not listen to my words that the prophet speaks in my name.

Kwa hivyo Quran ndiyo maneno aliyoahidi kuyatia mdomoni mwa huyo Mtume Muhammad SAW
 



View: https://www.youtube.com/shorts/6gUlZlTL30s?feature=share
 
Kwani wewe biblia yako ni ipi , KJV , Au QJV, AV , Au NIV, RSV ,Douay ,Au ipi Kati ya maelfu ya biblia tofauti???

View attachment 3019918
Kwani Quran ipo moja? Leo hii kuna Quran rasmi zaidi ya thelathini,hii ya hafsi mnayoitumia ilichapwa na kurasmishwa mwaka 1924. Mwezi ujao Hafs Quran inatimiza miaka 100,kabla ya hapo waislamu hamkuwa na single official Quran.
 
Kwani Quran ipo moja? Leo hii kuna Quran rasmi zaidi ya thelathini,hii ya hafsi mnayoitumia ilichapwa na kurasmishwa mwaka 1924. Mwezi ujao Hafs Quran inatimiza miaka 100,kabla ya hapo waislamu hamkuwa na single official Quran.

Hebu tuambie hafsi maana yake ni nini ?? Tuanzie hapo πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Hebu tuambie hafsi maana yake ni nini ?? Tuanzie hapo πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Imam Hafs Ibn Suleiman alikua mwanafunzi wa Aasim ibn Abi al-Najud al-Kufi al-Tabi'i ambaye naye alikua mwanafunzi wa Abu 'Abd al-Rahman al-Sulami. Huyu naye alikua mwanafunzi wa Uthman ibn Affan naye alikua mwanafunzi wa Ali ibn Abu Talib ambaye alikua mwanafunzi wa Ubayy ibn Ka'b ambaye alikua mwanafunzi wa Zaid ibn Thabit aliyekuwa wahaba wa Muhammad.

Una swali lingine?
 
Quran moja inakuwaje 30,how come hii version ya Hafs imepigwa marufuku kutumika Morocco? King Fuad 1 wa Misri asingetoa order ya kurasmisha Quran mwaka 1921 leo hii msingekuwa na Quran 1. Kwanini grand mufti wa Misri na baraza lake alichagua Hafs version na sio warsh au nyingine? Hayo mamlaka alipewa na Allah?

Kwanini ilitoka amri Quran nyingine ziharibiwe kwa kuzamishwa mto nile au kuchomwa moto? Hiyo mamlaka walipata wapi?
 

Kumbe hujaelewa umeingia google ukatafsiri kidogo , ingia tena usome zaidi , inaelekea hata hujui hafs ni kitu gani, Na hiyo warsh hata hujui ni nini , unaokota okota huku na huko kwa hao makafiri wenzako baadaye unakuja kutuwekea pumba hapa
 

Hujasikiliza ndio unakuja na maswali hayo kwa hayo kila wakati , wakati majibu yote yamo humo
 
Kwa hiyo Muhammad ndiye prophet among fellow Israelites?Hebu kuwa na akili kidogo basi.
Prophets wote wa waisraeli walitoka ukoo wa Yuda na jjimbo la Judea.Huyu wa Mecca si Prophet wa Ibrahim Isaka na Yakobo.
Ni prophet wa allah.
Why are you using the bible to justify your lies?
Ni wapi quran imenukuu Deuteronomy 18?
 
Quran hi kitabu kilichoigiza Biblia! Ndiyo maana nao wakajitahidi kusema aliyetaka kuchinjiwa alikuwa Ishmael! Kumbe ni Isaka!
 
Hebu tuambie hiyo Aya imesema wapi among israelites? Hata kusoma mnashindwa mumezoweya kunyweshwa pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…