Historia ya raisi Kagame

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Tunaomba mwenye hisroria ya raisi wa rwanda paul kagame atuwekee hapa na alihusikaje katika vita vya rwanda na nchi zinazo mzinguka

je ni nini haswa uhasama ulioko kati ya yake na wakongomani?
 
Hii nayo ni thread, toka utafutwe na maccm ukayaita TISS akili yako haiko sawa. Google utajua, hatuhitaji thread ya title tu hapa!
 
Tunaomba mwenye hisroria ya raisi wa rwanda paul kagame atuwekee hapa na alihusikaje katika vita vya rwanda na nchi zinazo mzinguka

je ni nini haswa uhasama ulioko kati ya yake na wakongomani?

mkuu kuna post hapo juu icheki
 
Tafuta filamu inaitwa HOTEL RWANDA,utakutana na kina Paul Rusesabagina,kina jeneral Bizimungu na kina George R.(kiongozi wa intarhamwe)utapata picha kamili na ya mauaji ya kimbari.Historia yake ni ndefu had hapo alipo we acha tu,tutajaza 'seva' humu!
 
Siamini kama muda wote huu hujapata historia ya huyu Mtutsi. Naona umeitafuta tangu tarehe 25/7/2013 PISTO LERO: Hapa chini ni baadhi yanayomhusu huyu mtu.

 
siamini kama muda wote huu hujapata historia ya huyu mtutsi. Naona umeitafuta tangu tarehe 25/7/2013 pisto lero: Hapa chini ni baadhi yanayomhusu huyu mtu.

utawala wake umeimarishwa juu ya mafuvu ya mauaji ya kimbari. Hao si ndiyo waliokuwa msituni wakati vita inaanza.sasa tueleweje? nyoka mkali sana huyu waliuze watu wa Goma na Bukavu
 
tafuta kivyako vyako, ukiuliza humu utapata versions zaidi ya mbili depending na nani anajibu. Kuna watu wake humu, wao wana historia yake nyingine tofauti na ile ambayo dunia nzima inajua.
 
Full usanii, toa hiyo titlle kama hakuna hiyo research.
 
Inaonekana kagame kapitia mengi ya kutisha, especially kusalitiana. Hafai kuwa rafiki wa watanzania
 
Thanks, these educative materials are the ones which are supposed to be posted as you did! Not like other JF members are posting stupid & foolish ads!
Big up and keep it up!
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…