Historia ya Remmy Ongala

Huyu jamaa alikua ana uwezo wa kucharaza gita kwa style ya kente(gita linapigwa nyuzi mbili mbili kwa mpigo) ni. yeye na Franko tu ndio walikua wanaweza kupiga style hiyo

Nguza Viking wa Maquiz umemsahau wapi.
 
Naipenda sana nyimbo yake kipenda roho,,

Mwaka 2019 nilipata bahati ya kwenda Chuo Cha sanaa Bagamoyo kwenye tamasha la kumuenzi Dk remmy (Ongala Festival),, natamani mwaka huu niende Tena binti kiziwi utanipeleka??...
 
Nipe tarehe dogo…. limeisha hilo….
 
Huyu jamaa alikua ana uwezo wa kucharaza gita kwa style ya kente(gita linapigwa nyuzi mbili mbili kwa mpigo) ni. yeye na Franko tu ndio walikua wanaweza kupiga style hiyo
Mossesengo Fan Fan alikuwa ndio bingwa wa kente.
 
Hakuendelea na masomo Tena. Kwa umri alioachwa inamaana hakujua kusoma na kuandika? Wakongo wao Kifaransa wanakijua bila hata ya shule. Lakini kiingereza aliwezaje na kutunga nyimbo nzuri za kiingereza zenye maudhui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…