Historia ya Sarafu Yetu Tanzania

Ipo haja kabisa ya kuwa hata na museum ambayo itakuwa imejaza sarafu hizi zilizo kuwa zinatumika kipindi hicho cha TANGANYIKA hadi leo hii, watu wapate maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaaaaah
ebana somo ni tam mnoooo kwakwel tumetoka mbali mno kumbe enzi hizo fedha zetu zilikuwa na thaman sana wandugu
najiulza sana kwann mpaka leo bado tuko hapa??
 
Nimeipenda hii, ni historia nzuri sana. Ongera mleta uzi!
 
Swali langu ni je!! Kwann fedha hizo zinatafutwa gharama kubwa sana
 
Asante sana kwa kutupa historia ya sarafu yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waingereza walipaswa watuambukize kutumia Pounds.... Sasa Hivi tungekuwa tunaita "Tanzanian Pounds"


All in all Mkuu, umetoa bonge la lecture... Safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…