Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir Mufti wa Tanganyika

Mzee said hivi hakuna mwanahistoria mwenye jina la edson, Emmanuel
 
Mohamed Said,

..kabla ya Sheikh Hassan Bin Ameir Mufti wa Tanganyika alikuwa nani?
JK,
Sina taarifa kama palikuwa na Mufti.

Kote nilipopita katika historia ya Waislam na Uislam Tanganyika nimekutana na masheikh na maliwali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…