Hiyo malihaba unatudanganya, marahaba, inatokana na neno marhaba kwa kiarabu inaamaanisha 'karibu' . hata kesho ukienda kwa mwarabu uarabuni ukagonga mlango atakwambia marhaba marhaba maanake karibu karibu, hiyo ndio asili ya marahaba ya kiswahili maanake karibu, ila shikamoo ndio labda unatuambia ukweli