Historia ya TANU Inapopotoshwa na Vingozi Wenyewe

Historia ya TANU Inapopotoshwa na Vingozi Wenyewe

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
HATARI YA KIONGOZI KUZUNGUMZA ASIYOYAJUA: ''MZEE'' ABDUL SYKES NA ''KIJANA'' JULIUS NYERERE


View: https://youtu.be/t4HhcYoQmeI

''MZEE'' ABDUL SYKES NA ''KIJANA'' JULIUS NYERERE

Kiongozi anapozungumza asichokijua.
Anamtaja Abdul kuwa alikuwa mzee.

Anasema Abdul Sykes hakusoma.
Abdul Sykes alikuwa na miaka 28 Julius Nyerere miaka 30.

Nyerere mkubwa kwa Abdul Sykes.
Abdul Sykes Mwenyekiti wa TAA akamwita Nyerere.

TAA haikuwa na nafasi ya Mwenyekiti bali President.

Nyerere hakuitwa na yeyote alipelekwa kwa Abdul Sykes na Kasella Bantu 1952.

Hajui kuwa Abdul alikuwa na admission ya Princeton University, New Jersey 1953.

Watu wote wanamsikiliza kwa makini.
 
Nyerere alikuwa kijana sababu ya mamlaka na hadhi katika jamii.
 
Back
Top Bottom