donald mickhitarian
Senior Member
- Apr 22, 2017
- 120
- 47
Hivi historia ya nchi yetu inatusaidia kitu gani kwenye maisha yetu ya kila siku nimejaribu kuwaza kwa mfano historia ya mambo ya kina living stone yanasaidiaje kuimarisha ubongo wa kijana wa sasa [HASHTAG]#useless[/HASHTAG]