Historia ya Ukomunist Tanzania - utesaji na kubambikiza kesi za kijasusi

Historia ya Ukomunist Tanzania - utesaji na kubambikiza kesi za kijasusi

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,925
220px-Karl_Marx_001.jpg
220px-KarlMarx_Tomb.JPG
220px-Marx_Moscow.jpg

Picha: Kushoto picha ya Carl Max, Katikati kaburi la Max na kulia mchongo wa Max - Urusi

CCM hitoria yake ikiwa TANU na ASP ni ya mfumo wa communism ambayo mwasisi wake ni Carl Max na Nyerere kuwa mfuasi mtimilifu wa mfumo huo. CCM inahubiri hayo na bado hayajaondolewa kwenye mfumo wake rasmi, lakini kinyume cha sera na mahubiri yake CCM inaishi maisha ya kibepari. Carl Max licha ya kuwa wa nchi za Magharibi ambaye ni Mjerumani, falsafa yake haikukubalika katika nchi za Ulaya hadi pale Warusi walipoamua kufuata falsafa yake Lenin na Stalin kuwa ndio waenezi wa mfumo huo duniani.

Marx's theories about society, economics and politics-collectively known as Marxism-hold that human societies progress through class struggle: a conflict between an ownership class that controls production and a proletariat that provides the labour for production. He called capitalism the "dictatorship of the bourgeoisie," believing it to be run by the wealthy classes for their own benefit; and he predicted that, like previous socioeconomic systems, capitalism produced internal tensions which would lead to its self-destruction and replacement by a new system: socialism.He argued that under socialism society would be governed by the working class in what he called the "dictatorship of the proletariat", the "workers' state" or "workers' democracy"

Wafuasi wakamilifu wa mfumo huo walikuwa
120px-Lenin_1921.jpg
150px-JStalin_Secretary_general_CCCP_1942.jpg
150px-Mao.jpg

Pichani ni Lenin, Stalin na Mao

Nchi mbalimbali duniani ambazo ziliingia kichwakichwa katika itikadi za mfumo wa kikomunist mfumo ambao Lenin na Stalin walifanya kweli kwa vitendo na kuibadilisha urusi kuwa nchi ya kikomunist ambao ulisambaa hadi China ambako Mou Tse Tung ndiye aliyekuwa jabali ya kuueneza hadi Tanzania ikaja kuwa mfuasi mtimilifu wa mfumo huo kipindi cha Nyerere.

Siasa za kikomunisti ni nzuri lakini zina ubaya wake pale zinapotumia njia za siri katika kutesa wale walio kinyume cha mawazo na matashi ya serikali iliyopo madarakani na chama tawala. Mfumo huo wa utawala unakawaida ya kuwa na chombo maalum cha utesaji kwa siri kwa wale wanaoonekana kuwa na fikra, sera na maono tofauti na mfumo wao wa utawala, na kwa vile sheria ya uhuru wa kutoa maoni inawapa kinga walio na sera tofauti, basi ukandamizaji kwa njia za siri ndio njia pekee ambayo hutumiwa na serikali za mfumo huo kama historia inavyojieleza yaliyojilia nchi za Urusi, China, Poland, Cuba, nk.


images
9k=
images
images
images
images

CCM yatumia mfumo wa kigaidi wa kikomunisti kujilinda wakati ni mabepari wakubwa
Chama cha Mapinduzi mpaka sasa hakijatoa tamko la kuachana na mfumo huo ingawa maisha na mwenendo wa serikali inayokiongoza inaonyesha kuwa kinyume cha mfumo huo wa maisha ya kikomunisti. Hali hiyo inajengeka fikra kwamba mfumo huo ni maalum kwa uendeshaji wa serikali kujilinda madarakani, lakini si kwa maisha ya watumishi wa umma kama ilivyozoeleka huko nyuma kipindi cha awamu ya kwanza. Mfumo huo unaonekana wazi kutumika kuilinda CCM na serikali yake badala ya kuuishi ukomunisti wenyewe.

images
images
images
images
07ragekam.jpg
images

Mficha madhari hatimaye humwumbua
Jambo la ajabu ni pale ukiukwaji na uvunjaji wa sheria nchini ambao hufanywa na walio katika mfumo huo hauchukuliwi hatua stahiki na pengine kupindishwa kwa kuegemeza kosa hilo upande wa washuhudiaji ambao wanabambikizwa kesi hizo kuwaosha wakosaji walio kwenye mfumo wa utawala.

Picha iliyopo ni kuyumbisha ukweli kwa kuwaita watu ambao wanaonekana kuwa na utandawazi katika kuelimisha jamii kwa kuwahusisha na njama zinazopangwa na chama tawala kuingizwa kwenye kesi za kijasusi.
 
538266_352397948206291_1029994122_n.jpg


Kosa kama hili pichani ambalo ni la jinai ushahidi ukiwa wazi na vyombo vya usalama kulifumbia macho na leo hao waliofanya uhalifu huo wanatamba mitaani.

Jambo la ajabu ni pale ukiukwaji na uvunjaji wa sheria nchini ambao hufanywa na walio katika mfumo huo hauchukuliwi hatua stahiki na pengine kupindishwa kwa kuegemeza kosa hilo upande wa washuhudiaji ambao wanabambikizwa kesi hizo kuwaosha wakosaji walio kwenye mfumo wa utawala.

Malalamiko ya Chema kwamba CCM imeandaa watu toka nje wambao ni watesaji katika kundi la CCM lijulikanalo kama walinzi wa kijani, ni hawa ndio wanaong'aa kucha, meno na macho?
 
Kama nchi zilizoasisi ukomunisti hali imebadilika, hili kwa tanzania wahusika wanaona bado nafasi ipo ya kuendeleza mfumo huo wa kuendelea kujilinda na kuulinda mfumowa wao dume?

images
 
Back
Top Bottom