Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio vi-wonder vya watanzania. Hajui sababu lakini anazisikitikiaUnasikitikaje na sababuvwakati huzijui
Aliulizia sababu za Vita Kuu ya Pili (1939-45). Mauaji ya Sarayevo yalitokea 1914 na kuleta Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia (1914-18)Sababu zilikuwa nyingi kama vile
1.Mauaji ya Sarajevo
2.Kugombania makoloni
3.Harakati za kupigania uhuru kwa badhi ya nchi za Ulaya
Nitaendelea
hahaaaaNdio vi-wonder vya watanzania. Hajui sababu lakini anazisikitikia
mauaji ya Sarajevo ndio mauaji ya namna gani mkuu ..nipe hiyo elimu tafadhaliSababu zilikuwa nyingi kama vile
1.Mauaji ya Sarajevo
2.Kugombania makoloni
3.Harakati za kupigania uhuru kwa badhi ya nchi za Ulaya
Nitaendelea
Mwaka 1914 mji wa Sarayevo ulikaliwa na Waserbia na Wabosnia lakini ilikuwa chini ya milki ya Austria-Hungaria (kama Bosnia yote). Mfalme mteule wa Austria na mke wake walitembelea mji huu. Waliuawa na mgaidi kutoka nchi ya Serbia aliyechukia utawala wa Austria juu ya sehemu walipoishi pia Waserbia. Kundi la kigaidi la Kiserbia "Mkono Mweusi" lilikuwa na wasaidizi na wanachama wa siri katika jeshi na serikali ya Serbia. Serbia haikutuimiza madai yote ya Austria baada ya tukio hili hivyo Austria-Hungaria ilitangaza hali ya vita dhidi ya Serbia.mauaji ya Sarajevo ndio mauaji ya namna gani mkuu ..nipe hiyo elimu tafadhali
AISEEE KUMBE VITA ILIFIKA MPAKA HUKU """???VIFO VYA WATU MALAKI NI WENGI MNOOO""Mwaka 1914 mji wa Sarayevo ulikaliwa na Waserbia na Wabosnia lakini ilikuwa chini ya milki ya Austria-Hungaria (kama Bosnia yote). Mfalme mteule wa Austria na mke wake walitembelea mji huu. Waliuawa na mgaidi kutoka nchi ya Serbia aliyechukia utawala wa Austria juu ya sehemu walipoishi pia Waserbia. Kundi la kigaidi la Kiserbia "Mkono Mweusi" lilikuwa na wasaidizi na wanachama wa siri katika jeshi na serikali ya Serbia. Serbia haikutuimiza madai yote ya Austria baada ya tukio hili hivyo Austria-Hungaria ilitangaza hali ya vita dhidi ya Serbia.
Urusi ilikuwa na mkataba wa Usaidizi na Serbia ikaingia katika vita. Ujerumani ilikuwa na mkataba wa usaidizi na Austria ikatangaza vita dhidi ya Urusi.
Urusi ilikuwa na mkataba wa usaidi na Ufaransa iliyojiunga na Urusi dhidi ya Ujerumani.........
Hivyo ndivyo mwanzo wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia katika Agosti 1914.
Vita hii ilienea hadi Afrika ya Mashariki ilisaabisha vifo vya watu malakhi.
Bila shaka ulisoma historia nasubili kwa hamu unieleze mkakati mzima wa utengenezaji wa bomu la atomic na jinsi lilivyowazima wa japan.... [emoji20] [emoji20] [emoji20]Sababu zilikuwa nyingi kama vile
1.Mauaji ya Sarajevo
2.Kugombania makoloni
3.Harakati za kupigania uhuru kwa badhi ya nchi za Ulaya
Nitaendelea