Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
VITA BADO INAENDELEA
SEHEMU I/♾
Bado zinachapwa huko sudani
CHANZO CHA MGOGORO
Mgogoro huu unaanzia mbali kabisa wakati wa Rais wa zamani wa Sudan Omary Bashiri.
Omary bashir aliingia madarakani baada ya kumpindua rais wa nchi hiyo Ahmed al-Mirghani. Na akaongoza nchi hiyo tangu 1989-2019.
LABDA UTAJIULIZA ILIKUAJE DICTATOR KUDUMU MUDA WOTE HUO.
Omar al bashir alielewa kua wasudan hawakumpenda kwa kuendesha nchi yake kiimla….
Hivo alijua ni suala la muda tu kabla hajaacha madaraka kwa kupinduliwa kama alivofanya yeye hivo alianza kujitengenezea vikundi vya kupambana na wanaompinga.
Katika Kile ambacho watu wengi hawakukubaliana ni kile serikali kupendelea Kasikazini huku akitelekeza maeneo mengine ambayo watu weusi walikua wakiishii kama sudan darfur,South kordofan ,na southern part ya sudan ambayo baadae ilijitenga kuwa Sudan.
Omar Bashiri alikua mdini, mbaguzi ambae alitaka kulifanya taifa lote la sudan kufuata sharia pasipo kujali kuna mamilioni ya watu ambao hawakua waislam wala waarabu.
LAKINI KAMA ALIKUA MSHIKA DINI kwanini apindue nchi na kuchukua madaraka kwa nguvu ???HAPA UTAJUA alikua na uchu wa madaraka tu ambao ulijificha kwa kujikosha na dini.
PIGO LA KWANZA LA OMAR AL BASHIRI
Hili lilikua baada ya kushindwa kuishawishi Sudan kusini kubakia sehemu ya sudan.Dikteta huyu alikua mdini kiasi kwamba hakuweza kukubali hata sekunde nchi iwe ya wote.
Museven kuna wakati anawapatanisha alisikika akisema.
“Kuliko kufanya Sudan kuwa ya wote bora Sudan kusini ijitenge”
……
Kama haitoshi baada ya sudan kusini kujitenga bado aliendeleza siasa za ubaguzi chuki,Rushwa na kujilimbikizia mali ilikua ni suala la muda tu Darfur ingejitenga baada ya wananchi kuanza kupinga serikali kwa kuwatekeleza huku malighafi zao zikipelekwa Sudan kasikazini.
Kupambana nao hakuona haja ya kupeleka huduma za kijamii wala maendeleo bali aliona Dawa ni kuwapelekea wauaji wawaue kabisa.
Hapo ndipo alipotengeneza na kuwafadhili kundi la kiarabu kutoka sehemu ya sudan kwa ajili ya kuwaua na kuwazima watu wa darfur.Kundi hili ndilo liliojulikana kama Janjaweed baadae RSF.
Kitu ambacho kilianza kama uchu wa madaraka na kuwa udikteta ndicho hicho baadae kinazaa vita kubwa ya sudan nchi nzima.Hii ndio maana watu wenye uchu wa madaraka ni hatari popote pale walipo hawajali madhara wao hufikiria taamaa zao kutimia.
hii ndio maana halisi ya uchu ambao ndani yake kuna ubinafsi
Katika utawala wake alijitengenezea nchi kutofanyiwa mapinduzi kwa kutengeneza Jeshi jingine pembeni la kupambana na mahasimu wake na waliopinga utawala wake wa kidharimu
WAHUSIKA WAPYA WA VITA
Kwa kile kilichooanza kama Mgogoro wa ndani kimegeuka mgogoro mkubwa unaohusisha mataifa mengine yaliyokua yanaitolea mate malighafi za sudan.
UAE imekua ikisaidia kukoleza vita hiyo kutokana na uchu wa waarabu hawa wa ghuba ya uarabuni kwene Dhahabu na madini ya Sudani.
Dubai inaongoza kwa shopping na uuzaji wa vito vya dhahabu.Unadhani dhahabu hiyo inatoka wapi?!
Asilimia 80 ya dhahabu hiyo inatoka Afrika.
Mtu atajiuliza inatoka Africa kuna ubaya gani?
Dhahabu inayotoka Africa ni ile inayopitia njia za magendo na kuuzwa kimagendo kufika United Arab Emirate.
Dhahabu nyingi inatoka sehemu zenye machafuko kama DRC ,Africa ya kati na Sudan.
Inaendelea…
ETHIOPIA
Richa ya Sudan Kushirikiana na Misri /Egypt kupinga ujenzi wa bwawa ambalo litawawezesha mamilion ya raia wa Ethiopia kupata umeme na kutengeneza uchumi lakini Ethiopia haijaona haja ya kuihujumu Sudani katika wakati huu mgumu ambayo kundi lenye nguvu la RSF ambalo huko nyuma waliijiita Janjaweed .
Ikumbukwe kua Sudan ilichukua fursa ya kupokonya Eneo la ethiopia.Eneo hili lilikua na wakulima wa Ethiopia na Sudan ilipeleka majeshi yake kupora eneo hili ambalo lilikua na utata siku nyingi ,kipindi ambacho Ethiopia ilikua inapambana na wanajeshi wa jimbo la Tigray