Historia ya Wachagga

Kama hutaki ni wewe. Huyo credible historian amepata wapi taarifa za uhakika kama sio utunzi(supposition) kama alivyofanya mwandishi wa habari hii? Au huwapendi?
 
Uchaga ni "race"?
 
Hakuna kabila la Wachagga bali kuna makabila ya Kichagga, katika hayo makabila kuna makabila ya Wamachame, Warombo, wauru, Wakibosho, Wasiha,Wamarangu, nk.
Hayo uliyotaja ni maeneo kama uliasema watanzania wa Mwanza wakigoma wakiarusha na wakitabora
 
Kama hutaki ni wewe. Huyo credible historian amepata wapi taarifa za uhakika kama sio utunzi(supposition) kama alivyofanya mwandishi wa habari hii? Au huwapendi?
Naomba nikujibu wewe na mleta uzi, historia za makabila ya Tanzania ni well researched, siwezi kuupload articles na vitabu ambavyo viko online. Wachaga ni wabantu kwa asili na lugha zao, they are not nilotic,hamitic or even semi hamitic. Siku hizi historical studies zinachukua pia vipimo vya DNA, hakuna,nasisitiza,hakuna ushahidi wowote wa kihistoria na kisayansi kwamba wachaga wana uhusiano wowote na watu wa Ethiopia let alone wayahudi! Jifunze kuhusu movement za wabantu kuingia Tanzania na makabila yanayoweza kuclaim hamitic heritage kama wambulu na jamii za jirani.
 
Hayo uliyotaja ni maeneo kama uliasema watanzania wa Mwanza wakigoma wakiarusha na wakitabora

Ni sahihi, lakini pia watu huweza kujulikana kutokana na maeneo wanayotoka, yaani jina la kabila linaweza kuchukua jina la mahali ambapo watu wanatoka au vyovyote kwa sababu jina la kabila ni jina la utambulisho wa jamii ya kabila hilo. Hao Wachagga wanajuana kutokana na mahali wanapotoka. Na hata baadhi yao lugha ni tofauti.
 
Uchaga ni "race"?

Kwa maana ya mkusanyiko wa makabila yenye asili moja, mfano wabantu. Wachagga ni mkusanyiko wa Makabila ya kichagga, na huko Uchaggani wao wanatambuana kulingana na maeneo wanapotoka.
 
Mnasemaga wahaya wana masifa ila ndugu zetu wachaga funika bovu yaani.

Walimaliza kusema wametokea ukoo Wa Yesu soon watatuambia malkia Wa uingereza ni mchaga Wa kishumundu na trump ni mrombo kwa asili.
Chezea chaga weye!
 
Haha hawa jamaa ni hatari kwa uongo
 
wacha upumbavu wa ku-copy! Wewe ni Mbantu!
 
WACHAGGA

Je unajua kuwa wachagga ni wayahudi?
Kabila la Wachagga linalopatikana Kaskazini mwa Tanzania, asili yao ni Wayahudi wa Ethiopia wanaoitwa Falasha – kutoka Mkoa wa Amhara kwenye kati ya vilima vya kati huko Ethiopia.
Kumba hujaleta chanzo au ushahidi wowote kwa stori hii. Siona kuna ukweli.
 
vp kuhusu lile kabila linalouwa wanaume asili yake wapi? alafu kwa nini wachaga wengi ni majambakuzi? Kingine kwa nn wachaga ni wabinafsi sana? Tuanze na ivyo kwanza embu leta historia ya hivi Kwanzaa.
 
Hakuna kabila la Wachagga bali kuna makabila ya Kichagga, katika hayo makabila kuna makabila ya Wamachame, Warombo, wauru, Wakibosho, Wasiha,Wamarangu, nk.
Hao wote uliowataja kwenye lugha , desturi, utamaduni,mila na koo kuna muingiliano hivyo asili yao ni moja. Ndio maana wakasema kwa ujumla wao ni Kabila moja linoitwa wachaga wa kutoka uchagani
 
Hao wote uliowataja kwenye lugha , desturi, utamaduni,mila na koo kuna muingiliano hivyo asili yao ni moja. Ndio maana wakasema kwa ujumla wao ni Kabila moja linoitwa wachaga wa kutoka uchagani

To be precise, Wachaga ni mkusanyiko wa makabila, sasa nimekosea wapi??, na makabila yenyewe ndiyo hayo niliyoyataja; wamachame, warombo,wakibosho, wauru, wasiha nk, hayo ndiyo makabila yanayojenga jamii ya Wachagga.

Mfano; katika Jamii ya Wamanyema huko Kigoma kuna makabila ya Wabwari, wagoma, wanyakaramba, wahorohoro, wabembe, wamasanze nk, wote hao wanajenga jamii ya Wamanyema, hapo wanaoelewana kwa lugha yenye lafudhi tofauti ni Wabwari, Wanyakaramba na Wagoma.

Kwahiyo Wachagga ni jamii inayojumuisha makabila kadhaa yaliyopo/ yenye asili ya mkoa wa kilimanjaro.

Hiyo ni tafakuri yangu.
 
Sasa tafti imesema kuhusu kuvunjwa kwa majengo ya Serikali mwaka 1930' na Serikali ya Tanzania let's understand ilianza mnamo miaka ya 1955-65 na mpaka sasa swali je kwa huo mda ni Serikali gani ilikuwepo?

Na pia thibitisha kipindi cha makabidhiano kati ya EDWARD TWINNING & RICHARD TURNBULL walisema chochote kuhusu kuwa Mara ndiyo mkoa mgumu kuutawala na kipindi hicho kumbuka kulikuwa hakuna mkoa wa Mara bali ilikuwa inaitwa North Lake Zone

REGARDS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…