Historia ya Wachagga

Kama wasukuma wametokea cameroon,wangoni south africa,wachaga ethiopia tena ni watoto wa sulemani ni muhimu kila mwana jf kwa uzalendo wa kabila lake alete historia ya kabila lake.ila sijaona kiashiria chochote cha hili neno "mbege" katika biblia.
 
Wakwe zangu hao, ukifika kwao pale Marangu mtoni utakulaa hadi uchoke, si wachoyo na ni watu werevu na hodari kwa kazi.
 
ila wachaga wana vinasaba vya wachina kuanzia muonekano mpaka lugha

..................................
 
Kama wasukuma wametokea cameroon,wangoni south africa,wachaga ethiopia tena ni watoto wa sulemani ni muhimu kila mwana jf kwa uzalendo wa kabila lake alete historia ya kabila lake.ila sijaona kiashiria chochote cha hili neno "mbege" katika biblia.
Sisi wanyakyusa na wapogoro asili yetu ni Senegal
 
Tatzo wachaga mkishalewa pombe mnaanza kujisifia mitandaon.
 
Kwa kuwa wachagga ni wayahudi. Basi na wameru na wamasai ni wayaudi, maaana wachaga ni mchanganyiko wa wameru na wamasai.

Kwa mantiki hiyo pia wakiwa Ethiopia hao wayaudi waligawanyika katikati kwa koo tofauti, mpk kupatikana wasudani ambao waligawanyika pia pindi wanasambaa kusini mwa Africa.

Wakapatikana wakulya ambao pia waliozidi kusonga mbele kukapatikana Wasonjo.

Wale waliogawanyika wengine wakaenda Buganda, ndo waganda wahaya, waziba, na walioenda magharibi zaidi ndo wakawa watwa,warundi( wanyarwanda).

Ivyo kaskazin mpk kanda ya ziwa ni wayaudi/.

Tukija kusini mwa Africa vilevile. Maana unaangalia wayaudi walioko Nigeria ndo wanasema waligawanyika kutengeneza koo za kusini mpk wakasambaa kufika Tanganyika kukawa na hao wabena, wangoni, wamalawi, wanyakyusa kwa ufupi.

Je apo nani atadai yeye si myaudi???
NB: ikumbukwe kuwa Wayaudi wote ni waarabu. Ivyo MTU asijechanganya, ni sawa na kusema Mosh wote wachaga wakati wao wanajua kuna wamachame,rombo nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wasukuma wametokea cameroon,wangoni south africa,wachaga ethiopia tena ni watoto wa sulemani ni muhimu kila mwana jf kwa uzalendo wa kabila lake alete historia ya kabila lake.ila sijaona kiashiria chochote cha hili neno "mbege" katika biblia.
Sasa je! hiyo mbege πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kwani japhet kirilo allikuwa mchagga?
Maana yeye ndo wa kwanza kwenda UN kudai uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…