Jaman walumbi wa lugha habari za humu?
Mimi nmejarbu kutafuta sana historia juu ya hawa wanaojiita WAHENGA? naomba kujua kama mtu anaweza kunisaidia kupata historia tu fupi ya hii jamii ya wahenga maana utamskia mtu anasema wahenga waliwahi kusema!!
Naomba msaada kwakweli waliishi upande gan mwa dunia hii?, walikuwa wanjshughulisha na nn?, walikuwa ni jamii ya aina gani yeny asili ya wapi? na kwann wao walikuwa hawakosei kwamba kila wanchokisemea kinatimia? naamin kwa maswali hayo ntakuwa npo vzr kuwajua hawa jamaa