Historia ya wanyaturu

Watu hao waliona wanyaturu kuwa ni watu wanaopenda vita.katika simulizi yote ndo kitu nilichoshika pekee.
 
Kwenye perspective ya kisayansi hakuna mtu anazaliwa na roho mbaya wote tuna emotions sawa.. tabia ya uchoyo inajengwa na uhaba wa resources (chakula etc)
Mazingira ya singida ni mabovu mara nyingi watu hawana chakula cha kutosha so lazima uwe mchoyo uweze ku survive
 
Mkuu mbona lawama ila hauja propose solution unachamba tu watu hahahah
 
Mwaka ulio andika huu uzonndio mwaka nahamia singida na .mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…