S Stanslaus silayo Member Joined Feb 15, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Feb 22, 2014 #1 Naomba kujua historia na asili ya watu hawa na ni nchi waliyotoka.
COMMAN Senior Member Joined May 1, 2012 Posts 110 Reaction score 47 Feb 22, 2014 #2 ya nini sasa inakuhusu nni.wasukuma ni wabantu.kama ilivyo makabila mengi ya tanzania.tofauti yao na wabantu wengine ni kwamba wao ni wafugaji na wakulima.hasa ufugaji.hii inapelekea wafananishwe na wamasai.wakati cio hivyo.
ya nini sasa inakuhusu nni.wasukuma ni wabantu.kama ilivyo makabila mengi ya tanzania.tofauti yao na wabantu wengine ni kwamba wao ni wafugaji na wakulima.hasa ufugaji.hii inapelekea wafananishwe na wamasai.wakati cio hivyo.
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Feb 22, 2014 #3 Stanslaus silayo said: Naomba kujua historia na asili ya watu hawa na ni nchi waliyotoka. Click to expand... Wasukuma walitoka Chad,wakapita Mashariki mwa Nigeria, then Cameroon, kisha Kongo then wakaingia Tanzania. Sukuma people - Wikipedia, the free encyclopedia
Stanslaus silayo said: Naomba kujua historia na asili ya watu hawa na ni nchi waliyotoka. Click to expand... Wasukuma walitoka Chad,wakapita Mashariki mwa Nigeria, then Cameroon, kisha Kongo then wakaingia Tanzania. Sukuma people - Wikipedia, the free encyclopedia
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Feb 22, 2014 #4 Stanslaus silayo said: Naomba kujua historia na asili ya watu hawa na ni nchi waliyotoka. Click to expand... Duu..! kumbe kihistoria kabila la wasukuma chimbuko lake ni Ethiopia.! tembelea kijiji cha wasukuma bujora utajua mengi. ~ JIACHIE
Stanslaus silayo said: Naomba kujua historia na asili ya watu hawa na ni nchi waliyotoka. Click to expand... Duu..! kumbe kihistoria kabila la wasukuma chimbuko lake ni Ethiopia.! tembelea kijiji cha wasukuma bujora utajua mengi. ~ JIACHIE